B Buta Member Apr 11, 2012 34 6 Apr 23, 2012 #1 Nimeona nikalale mtaniambia pinda akijihuzuru, yaan ameniharibia siku kabisaaaaa! Naomba uniamshe saa nane kasorobo Usiku niende kazin.
Nimeona nikalale mtaniambia pinda akijihuzuru, yaan ameniharibia siku kabisaaaaa! Naomba uniamshe saa nane kasorobo Usiku niende kazin.
kivyako JF-Expert Member Feb 2, 2012 14,341 12,045 Apr 23, 2012 #2 Asante, imenibidi nipate castle light kidogo ndo ntapata usingizi, siku ya leo imeharibika sana.
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,779 Apr 23, 2012 #3 Hamnishindi mie nimekaangiwa nusu Kuku hapa nimemzira ! Yaani nimesusa kupeleka Pwani hadi kesho.