wadau kesho siku ya ofisi, ktkt ya wiki j5.. Hebu punguzeni kuchati then tupumzike. Naitaji faraja toka kwa binti mmoja toka hapa jamvini, MMU! Hebu nichagulieni kifaa chakuendana nami (cheki avatar)!
Hahahhah...broh PJ mimi kwa huyu hata nipelekwe kwa fimbo siendi!!
Nilale mapema na mpenzi wangu yukomacho!?Teh! Leo hebu lala mapema bwana, umekua ka kidume, faza hause teh!
Huzitaki mbichi hizo sio?Anamawazo huyo achana nae teh!
Hata nikiwa na ugomvi nae siwezi....pole kwakukosa hata huyo wa kukupa mgongo ehhhhh...!Mpenzi wako mpe mgongo teh!
Nachezea tope bana...hata likianguka sina presha!Mmh! Lizzy unachezea shiling ktk tundu la choo, kweli Klorokwin kakuendea kwa sangoma duh!
Subiri kufagiliwa.....unachoona raha kwangu karaha!!Tope? ooh! hapa ful raha, umesusa? Mambo iko hapa!
Kweli niko mpweke bt mkono wangu wa kushoto hauniangushi... lol teh!
Umefulia kama jeans ya mtumba!!
Hhahahaha...wifi bana!!Huyu kafulia tayari...angekua kaloweka angalau angekua na matumaini.Wifi,huyu sio kaloweka kweli? manake kufulia nayo ni hatua ya kuanika! eeh,ngoja ninyooshe mbavu mie!