Usiipe hii picha maneno, yapo tayari

hapo homa itakuwa haiishi, kama hawezi kuachana na arsenane bora kuweka ushabiki likizo... Maana utanunua painkiller kwa mabox.

Looh. Kazi huwa naipata mimi, siku arsenal ikifungwa siombi hata kuletewa Ice Cream., maana naweza kuulizwa "unasherehekea sio?"
 
Likiwa na hasira linazimalizia kwenye huduma, hapo sasa, huwa naombea wafungwe kila siku.
Jibu nzuri sana madam..unatisha kwa majibu! Ungekuwa waziri wa nishati wala usingepata shida ya kujibu maswali ya wabunge..i like that: Ha ha!
 
402317_10150706065113496_538883495_12116180_1212807199_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom