Usifungue kama hujalewa

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Kuna tetesi kuwa JF ni ya CHADEMA na CHADEMA ni ya WACHAGA na WACHAGA ni WALEVI na WALEVI ni WATU MAKINI.

Swali linakuja kwako sasa je memba wote wa jf ni MAKINI yaani WALEVI kama ni kweli basi JF ni ya chadema na chadema ni ya wachaga na zito ni mchaga na hata Prof Baregu na Prof. Safari, Mr 2, Wenje, Lema, Lissu, Mnyika, Mdee, Slaa, NA waliowachagua ni Wachagha? kuwa makini chukua hatua
na kama unavutia baghe chooni kuanzia leo acha maana utakuwa kichaa wataalumu wamethibitisha hilo kuwa harufu ya chooni ukichanganya na harufu ya bange inaleta ukichaa wa aina flani na wameshauri kuwa sehemu salama ya kuvutia bangi ni vituo vya polisi na haswa polisi post ila ukienda kuvuta lazima utoe taarifa ili polisi waweze kukuonyesha sehemu ya kuvutia ila wakataadharisha pia ukiende uende na ya kutosha maana inaweza isiwatoshe wewe na hao watakaokupa ruhusa ya kuivuta
 
Hahahhahha hahahahha hahahahhaa,
Khaaaaa,jamani mbavu zangu mie lol!

Huu ni mchanganyiko maalumu,hahahahahhahah!
Aika ruwa!
 
Du!!! huyu nae!!!!! usiwashe Computer baada ya kuvuta/ukiwa unavuta bangi!!
Computer inamionzi flani ikiingiliana na bangi kichwani unaweza kupata madhara kama yaleyale upatayo ukivutia bangi chooni!!!
 
mseto! Ila shm nzuri kuvutia bangi choon unabisha? Nenda shule za wazazi zote afta break!
 
Back
Top Bottom