Usife moyo wakati wa kuvaa shela muda ukifika utarudi kumtukuza mungu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Vumilia vumilia wewe wakati wa kuvalishwa shela aujafika usife moyo
ndugu yengu leo naleta neno la unabii mungu anasikia sauti yako
na wala ajakuacha yeye alishinda sembuse hilo mungu anasema usife
moyo bwana yu nae usitende dhambi kwa kukosa mume sahihi la hasha
ajakuacha ana haja nawe muda ukifika watakuletea zawadi ya harusi
waliongea uolewi muda ukifika waliosema uolewi watapigwa jua
kariakoo kukukunulia nepi na papmpas watakuletea zawadi

kuwa mvumiliviu usikate tamaa dada nakutakia mume mwema mwenye kuona na
kusoma nykati mungu akisema ndio akuna mwenye kusema hapana neno lake
ni la kweli soma yoh 17:17 jua atakuacha na ajakuacha ana sababu zake

mungu akubariki

jamani yataka moyo, mtu unaweza kusali, kufunga na kuomba kwa miaka saba still usimpate mwanaume mwenye sifa uzipemndazo, na kumbadilisha mtu tabia ni kitu ambacho hakiwezekani

Kama haujastuka tatizo ni hapo kwenye sifa,kwani unatafuta mtu wa kufanya kazi mpaka uweke sifa,kama ni mume au mke we angalia kama anajua kupenda ni nini basi!

jamani yataka moyo, mtu unaweza kusali, kufunga na kuomba kwa miaka saba still usimpate mwanaume mwenye sifa uzipemndazo, na kumbadilisha mtu tabia ni kitu ambacho hakiwezekani

usiogope farao aliota ndoto ikaja timia baada ya miaka 7 sembuse hilo

jamani yataka moyo, mtu unaweza kusali, kufunga na kuomba kwa miaka saba still usimpate mwanaume mwenye sifa uzipemndazo, na kumbadilisha mtu tabia ni kitu ambacho hakiwezekani

hapo kwenye red...Tatizo we unataka wanaume wa kufikirika kumbuka watu si maembe ati utakwenda sokoni na kupata ulipendalo mama....
No one is perfect but u can make ua man to what you want if you realy want him to change!!!

Vumilia vumilia wewe wakati wa kuvalishwa shela aujafika usife moyo

ndugu yengu leo naleta neno la unabii mungu anasikia sauti yako

na wala ajakuacha yeye alishinda sembuse hilo mungu anasema usife

moyo bwana yu nae usitende dhambi kwa kukosa mume sahihi la hasha

ajakuacha ana haja nawe muda ukifika watakuletea zawadi ya harusi

waliongea uolewi muda ukifika waliosema uolewi watapigwa jua

kariakoo kukukunulia nepi na papmpas watakuletea zawadi

kuwa mvumiliviu usikate tamaa dada nakutakia mume mwema mwenye kuona na

kusoma nykati mungu akisema ndio akuna mwenye kusema hapana neno lake

ni la kweli soma yoh 17:17 jua atakuacha na ajakuacha ana sababu zake

mungu akubariki

ubarikiwe sana ndugu katika Bwana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom