Usifanye mchezo na mamba! Atakutafuna!

Mchezo huu unachezwaana Thailand baada hapa huyu mchezajin alikuwa akimchezea mamba huyu kwa kuingiza mkono wake kinywani na kutoa kama mara tatu hivi. mara ya nne alipoingiza mkono tena mamba akafunga mdomo nakumviringisha kama mara nne hivi kama mamba anavyofanya akipata prey wake ndani ya maji. Bahati kijana alipona baada ya kujeruhiwa vibaya mkono wake. Ingekuwa hapa kwetu mkono ungekatwa. Hii iliyonyeshwa channel ya ANIMAL PLANET
 
si unaona sasa, watu wengine wanadhani ni photoshop! kumbe kijana aliumia! hehehehe! pole yake!
 
Hakujua kuwa hata Mbwa akikuzoea iko siku anawez kukugeuzia kibao akakudhuru?
 
Tanzania si tuna nyoka wa kibisa labda na huyu mamba naye ni wa kibisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom