Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usifanye mchezo na braza TEMBO

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Nov 3, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 25,994
  Likes Received: 3,271
  Trophy Points: 280
  1.Tembo pamoja na ukubwa wake
  akitembea hana kishindo kabisa miguu yake
  kwa chini ni kama ina sponge hivi.
  2.Tembo anaukubwa wa tani 7
  3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2
  4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
  5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na
  maji lita 40
  6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona
  wakati anafanya mapenzi kwa nyuma
  unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
  7.Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi
  kelele
  8.Umri wake wa kuishi ni miaka 60
  9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12
  masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi
  wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe
  na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
  10.Tembo dume huwa na wanawake wawili
  mpaka wanne
  11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni
  ujazo wa lita tano.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,841
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa kuna haja ya kumjadili mnyama hapa? Halafu haya mambo ya kutuletea vipindi vya LEO TENA hayana faida hata moja kwenye jamii ya Great Thinkers.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,347
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  basi kanizidi kwa kilo 5 tu,ila vilivyobakia vyote tuko sawa. Nalog off
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,953
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Weee Mwita acha hizo. Bujibuji katupa elimu tosha.
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,723
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Dah...
  kweli tembo noma.
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  nimeipenda sana tu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,350
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  Tena hapo kwenye 9 na 11....
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Copy and paste!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,572
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Sista tembo ndo balaa zaidi...
  1) anaweza kuparamiwa na braza tembo kwa 6hrs straight
  2) ana k kubwa kama kalavati.....27kg za mshipa wa braza tembo unaingia na naacha 5ltrs za manii...kama sio kalavati hilo ni nini?
   
 10. JS

  JS JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,063
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tuletee na wanyama wengine Bujibuji ukipata nafasi
   
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo no 9 ni hatari. ingekuwaje kama na sisi wanadamu inakuwa hivyo, je tungefanya shuguli nyingine kweli maana tunavyopenda iyo issue mh nawaza!
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,487
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Duu! Anasimami masaa sita kwa raundi moja.
   
Loading...