Usifanye maisha ya Mapenzi kama Marathoni!!

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Hebu Jamani kwenye Mapenzi hatushindanii medali na wala hatushindani na mtu!..Mara nyingi ni wewe na moyo wako tu..na mwisho wa siku ukishinda ni wewe na ukishindwa ni wewe pia..

Sasa inakuwaje tunaishi kwenye mahusiano yetu aidha NDOA au Mapenzi ya kawaida kwa kukimbizana na Majirani zetu. Yaan ukimuona jirani kamfanyia hivi mwenzie na wewe mbio kufanya as if uko kwenye mashindano..Ukiona mwenzio kafanyiwa vile roho inakuuma as if usipofanyiwa utakosa Medali??

Jichagulie SPEED ambayo unadhani itakufaa kwenye Mbio za haya Maisha na hakikisha Unapoanza Mbio zako uko kwenye Right lane and with right studs..otherwise ukiigiiza kufuata mbio za Akina Marion Jones na Usain Bolt utapasuka kifua..kwa sbb wao wamezaliwa na speed na kasi hzo..kinyume chake na wao wakifuata speed yako ya Kobe wataumia magoti!!!!..
 
Attachments

  • is.jpg
    is.jpg
    2.6 KB · Views: 290
  • is (1).jpg
    is (1).jpg
    3.6 KB · Views: 304
Ila maisha hayataki lelemama lazima ukaze na uwe na malengo huku ukitamani kufanikiwa kama waliokuzidi.
Wivu wa maendeleo unaruhusiwa kabisa.
Kwani wao waweze wana nini na wewe ushindwe huna nini?
 
Ila maisha hayataki lelemama lazima ukaze na uwe na malengo huku ukitamani kufanikiwa kama waliokuzidi.
Wivu wa maendeleo unaruhusiwa kabisa.
Kwani wao waweze wana nini na wewe ushindwe huna nini?

Do you think kwenye mapenzi it applies the same way?
Kwamba kwa sababu flani kafanyiwa hivi na mtu wake au kwa sbb flan anafanya hiv kwa mtu wake na mimi nifanye?..
 
Do you think kwenye mapenzi it applies the same way?
Kwamba kwa sababu flani kafanyiwa hivi na mtu wake au kwa sbb flan anafanya hiv kwa mtu wake na mimi nifanye?..

Mkuu unaweza kuweka kamfano kadogo hapo kwa red, maana sijapata picha kamili
 
Back
Top Bottom