Usidharau Facebook,ebu soma hii!

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
[h=6]Rosemary Kimaro
[/h][h=6]Ombi kwa marafiki zangu wote facebook!naomba sana hakikisha una kitambulisho chako cha kupigia kura,kumbuka serikali inaundwa na wewe raia wa tanzania,nawaomba kabisa usikubali kuuza kitambulisho chako kwa mafisadi,jamani hii nchi inatulilia sisi tuweze kuleta mabadiliko,Mungu amekaa mbinguni anatuangalia tutafanyaje,Mungu hawezi kutuma malaika kutuokoa kwenye matatizo yetu,tutajiokoa wenyewe kutumia akili zetu,nipo chini ya miguu yenu naomba tulete mabadiliko ndani ya nchi yetu,tuige wananchi wa zambia walivyofanya,ninalia kwa uchungu kwa uharibifu mkubwa uliofanyiwa nchi yangu,kitambulisho cha kupiga kura ndio silaha yetu,kama huna au umepoteza hakikisha unafata taratibu zote za kuwa na kitambulisho!!Mungu awabariki sana![/h]



    • Delete CommentMark as Spam

      Romeo N Juliet natembea nacho kama moyo wangu mafisadi labda wanilishe xumu ndio wataniibia my kitambulisho33 minutes ago · Like





    • Malbwai Trashish Thats gud @romeo30 minutes ago · Like · 1





    • Mussa Mbwambo Okey sisi wamjini 2mekuelewa sasa je wale wavijijini wasiojuathamaniyake?@rose30 minutes ago · Like


    • Rosemary Kimaro ‎@musa unajua chadema wameanza kutembelea wananchi wa vijijini,tumeona viongozi wengi wameanza kutembea huko29 minutes ago · Like · 1





    • MarGreth Marco Misana Cku zote np nacho,kamwe cwez uza mie tn huo u2mbo c utak kbs..Mungu ibrk Tz28 minutes ago · Like · 1


    • Rosemary Kimaro tutaleta mabadiliko sisi wenyewe,ikiwezekana wote wanakuja kutaka kununua vitambulisho vyetu wakamatwe na kuchukuliwa hatua zinazofaa kwa kuwa wanatutakia mabaya27 minutes ago · Like · 1





    • Majid Hussen CCM iko juu na itaendelea kuwa juu mwambie baba ako ahamie chadema bure ww malaya wa kiume26 minutes ago · Like




  • 26 minutes ago · Like


  • Rosemary Kimaro nataka kuanza kampeni ya kueleza umuhimu wa vitambulisha,,kitambulisho ndio kinaunda serikali kwa kuwa kama huna kitambulisho huwezi kupiga kura26 minutes ago · Like


  • Rosemary Kimaro kumbukeni ni watu wangapi walishindwa kupiga kura 2010 kwa sababu ya kukosa vitambulisho??
    tusikubali hayo matatizo yatokee tena24 minutes ago · Like





  • Bahati Senkana Usihofu pa1 sana kuhakikisha 2naish kama wafalme na co kama 2navyoish ss kama wa2mwa! Mabadiliko muhimu24 minutes ago · Like





  • Gande Maharagande Term ya "MUNGU HAWEZI" HUWA SI SAHIHI KUTUMIKA KWA KUWA SIFA YA MUNGU WA KWELI NI KUTOKUSHINDWA. MUNGU NI MUWEZA.23 minutes ago · Like





  • Mussa Mbwambo Vijijini niwagumu sana wakuelewa mf kijijini kwangu zahanati ye2 haina hata kipimo cha malaria lakini bado uongoziuliopo niwa chama tawala ukiwambia wafanye mabadiliko wao wana sema ccm ndio iliyo wazaa sasa wa2kama hao tutawasaidiaje@rose23 minutes ago · Like





  • Babuu Nchimbi Aisee nadhani unafaham umuhimu wa ngozi yako au mwili wako ndo mana unakula,unapendeza,unahudumia ngozi mwili wako vzuri na hata kwa wale walio na ngoz nyeusi wana renew na kuwa weupe..kama unacho kitambulisho tunza kama unavyo tunza mwili wako.na kama umepoteza ka renew kama mnavyo renew sura zenu...mnisamehe.teh teh teh teh..ha ha ha23 minutes ago · Like





  • MarGreth Marco Misana kitamblsho muhm cna jman..ur rght rose.22 minutes ago · Like





  • Babuu Nchimbi ‎@rose imenigusa hv kwanini wanarithishana uongoz?wakitoka wao,wanashika watoto ok promo ime anza sasa kwa lz1 kesho kutwa utamuona kwenye wadhifa sitaki kuolozesha wengine...aaaah.Tanzania weeeee7 minutes ago · Like


  • Rosemary Kimaro ‎@babuu angalia arumeru,wanafikiri wakileta yule mtoto wa yule mbunge aliyefariki baada ya kuiba kura ndio watashinda,hicho ni kigezo kinachotumiwa na watu wanafikia mwisho,tutapiga kelele mpaka utawala wa ccm utokomezwe kabisa5 minutes ago · Like





  • Lisyele Ambwene Lisyele nimeipenda sana , km Vp bora 2andamane 2vipinge kabisa vitambulisho maana wengi hawana na wanahasira sana na nnchi yao, bora iwe kama zamani balozi na Wa2 wake mbona watakoma!!!!!!!!4 minutes ago · Like


  • Rosemary Kimaro ‎@lisyele,yaani vitambulisho ni jambo la muhimu kuliko hata kampeni za uchaguzi,kwa sababu kuna haja gani ya kupiga kampeni wakati watu hawajajiandikisha??ebu fikiria hapo3 minutes ago · Like





  • Jeremy Ndelekwa Siasa maana yake sii hasa sasa wenye elimu tunatakiwa tuitumie elimu yetu kuikomboa nchi na siyo kwenda kupigania posho bila kufanya kazi. Sijawahi kufikiria kitambumbulisho cha kupiga kura lakini nitakitafuta dada Rose3 minutes ago · Like


  • Musa Rama ‎@ab.huwez kufanya kaz na ucie mjua.huu ndio msemo wakiswahl vongoz wanautumia vibayaabout a minute ago · Like

 
naomba chadema msome hii,mchukueni huyo dada jamani,wapiganaji wanaoneka kwa macho
 
utamu wa hii Post na hizo Picha wahusika wawe humu JF..hahahaha..wanajisomea vizuri tu..safi sana FB kazeni Buti mtushawishi na sisi kuja huko
 
Huyu delegate ndo rose kimaro? Wengi waliopo hapa jf wana account fb hata kama hawazi2mii. Nahisi Huyu m2 kaamua kujirusha live!
 
Back
Top Bottom