Usidharau cha zamaini

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Jamaa Mmoja likiuwa anasafiri akitumia treni na alikuwa amevaa nguo zilizoraruka na kuchakaa, alipofika kituo kimoja cha treni akaona nguo za mitumba na kwa kuwa alikuwa na pesa akanunua viatu, shati, soksi pamoja na surali. Aliporudi ndani ya treni akaingia chooni ili abadilisha nguo na akaamua kuvua za zamani na kuzitupa nje wakati treni ikiendelea na safari. Alipofungua zile nguo mpya alichokiona hakuamini kumbe alifungiwa matambala na viatu vilikuwa makubazi. Hepu fikiliria alitokaje humo chooni na nguo alizokuwa amezivaa tayari ameishazitupa.
 
Ni bahati mbaya tu,haimaanishi kila ktu cha zamani ni kizuri..
 
Inakuwaje anunue nguo zimekunjwa bila kuzikunjua kuangalia urefu na upana wa suruali,upana wa shati n.k?
 
Siyo bahati mbaya haya mambo yalikuwa yanatokea sana, Enzi za raba mtoni, mashati ya Julina watu walililia sana unaonyeshwa vizuri lakini wanakuchezea kanyaboa kwa kukufungia bidhaa isiyo yenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom