Usichezee jeneza

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Jamaa mmoja alianza utani wa kujipima kwenye jeneza la rafiki yake.chakushangaza aliopoingia ndani na kujilza kuamka ikawa hawezi.ilibidi jeneza livunjwe kwa nguvu aweze kutolewa,siku hizi hata msibani anaogopa kwenda mtizame hapa
 
Attachments

  • gal_guinness_coffin[1].jpg
    gal_guinness_coffin[1].jpg
    50 KB · Views: 316
Jamaa mmoja alianza utani wa kujipima kwenye jeneza la rafiki yake.chakushangaza aliopoingia ndani na kujilza kuamka ikawa hawezi.ilibidi jeneza livunjwe kwa nguvu aweze kutolewa,siku hizi hata msibani anaogopa kwenda mtizame hapa
Kwa maneno yako ya Uongo umenifurahisha leo umenifanya siku yangu niwe na furaha sana ehhhhhhhhhhhhh jamani anajaribu Jeneza kabla hajakufa???? Kasheshe kweli walimwengu!!!!!!!!!!!!! duh hiii kali kweliiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom