Usianike matatizo yako kwa watu, nao wanayo mazito zaidi ya hayo

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
576
Niliwahi kuipata hapo nyuma, labda nawe pia. Nimedhani inaweza kumfunza mtu fulani kitu hapa.

Source: Yahoo Friends

Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake

akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa hiki.

" Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti

mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu

wa kambo hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na

Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu

akawa mama mkwe wa mkwe wake.

Baadaye binti yamke wangu yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wa

kiume. mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia

baba mmoja. lakini kwa vile alikua ni mtoto wabinti wa mke wangu papo hapo

akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake ndogo wangu.

Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto

wa kiume. Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiume

kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake. Hali hiyo ilimfanya pia

baba yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa

upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji

yake mama yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti)

wabinti yake mwenyewe . Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu

ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.

SWALI.

Je, unadhani mpaka hapo wewe una matatizo ya

kifamilia? Acha kulalamika
 
Kuna mtu namfahamu ameanika matatizo yake kwenye facebook ili hali mume wake anafahamika sana kwenye tasnia ya teknohama basi watu wanamshangaa na hatimaye mwanaume kamkimbia sasa anatukana watu kwenye facebook si aibu hii jamani.

Tufikiri kabla ya kutenda
 
Bad Combinations:
Many of us "Old Folks" (those over 60, WAY over 60, or hovering near 60) are quite confused about how weshould present ourselves. We're unsure about the kind of image we are projecting and whether or notwe are correct as we try to conform to current fashions. Despite what you may have seen on streets, the following combinations DO NOT go together and should be avoided:

1. A nosering and bifocals
2. Spiked hair and bald spots
3. A pierced tongue and dentures
4. Miniskirts and support hose
5.Ankle bracelets and corn pads
6. Speedo's and cellulite
7. A belly button ring and a gall bladder surgery scar
8. Unbuttoned disco shirts and a heart monitor
9. Midriff shirts and midriff bulge
10. Bikinis and liver spots
11.Short shorts and varicose veins
12. Inline skates and a walker
And last, but not least...my personal favorite:
13. Thongs and Depends. Please keep this basic guideline foremost in your mind when you shop.
 
I could not connect this to the original! This is another problem.
 
Kuna mtu namfahamu ameanika matatizo yake kwenye facebook ili hali mume wake anafahamika sana kwenye tasnia ya teknohama basi watu wanamshangaa na hatimaye mwanaume kamkimbia sasa anatukana watu kwenye facebook si aibu hii jamani.

Tufikiri kabla ya kutenda

Anadhani Facebook ni Mama Ushauri?
 
Niliwahi kuipata hapo nyuma, labda nawe pia. Nimedhani inaweza kumfunza mtu fulani kitu hapa.

Source: Yahoo Friends

Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake

akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa hiki.

" Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti

mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu

wa kambo hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na

Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu

akawa mama mkwe wa mkwe wake.

Baadaye binti yamke wangu yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wa

kiume. mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia

baba mmoja. lakini kwa vile alikua ni mtoto wabinti wa mke wangu papo hapo

akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake ndogo wangu.

Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto

wa kiume. Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiume

kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake. Hali hiyo ilimfanya pia

baba yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa

upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji

yake mama yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti)

wabinti yake mwenyewe . Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu

ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.

SWALI.

Je, unadhani mpaka hapo wewe una matatizo ya

kifamilia? Acha kulalamika

kwi kwi kwi kwi labda lake ni kwa kuliko hili kwi kwi kwi
 
Anadhani Facebook ni Mama Ushauri?

Kuna watu kwanza hawajui hata matumizi ya facebook, mtu ameweka mambo ya ndani kibao kwenye facebook, no wonder unchumba na ndoa nyingi zavunjikia facebook though na uchumba na ndoa nyingi zaanzia facebook
 
Back
Top Bottom