ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.

mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?


hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe

nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
 
Kunyoa sehemu nyeti na kwapani ni elimu unayoipata ktk jamii (socialization) toka kwa ndugu, marafiki na wengine wa rika lako, unless ulikuwa isolated sana, Kwa sisi tunaotoka ktk makabila ambayo hayana tamaduni za kukeketa wanaume, tume mutilate foreskin zetu bila kuelekezwa na mtu, through socialization tulijifunza kuwa ngozi ya mbele haikubaliki unless usitoke nje ya kabila lako.
 
kunyoa sehemu nyeti na kwapani ni elimu unayoipata ktk jamii (socialization) toka kwa ndugu, marafiki na wengine wa rika lako, unless ulikuwa isolated sana, kwa sisi tunaotoka ktk makabila ambayo hayana tamaduni za kukeketa wanaume, tume mutilate foreskin zetu bila kuelekezwa na mtu, through socialization tulijifunza kuwa ngozi ya mbele haikubaliki unless usitoke nje ya kabila lako.
sikuwa hata isolated sijui kwanini sikujua
 
Ndio mana makabila mengine pindi msichana anapo vunja ungo nilazima awe na Somo yake au kungwi ili akueleimishe nini kinafatia
amasivyo unaweza kuhadhirika....
 
:biggrin:Hahahahahaaaa, umenikumbusha movie ya 18 years old virgin, yaani unafanana kabisa na yule dada. Hahahahaaaaaaa. nimecheka sana, sikutegemea kama unaweza kujiamini na kusema ukweli. Poleeee, natumaini sasa hivi unanyoa. LOL!:lol:
 
ndio mana makabila mengine pindi msichana anapo vunja ungo nilazima awe na somo yake au kungwi ili akueleimishe nini kinafatia
amasivyo unaweza kuhadhirika....
hilo muhimu mkuu.kwetu watu wanajifanya kuishi kizungu niliteseka kweli kisaikolojia
 
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana

unajua tena hiki kizazi ni cha ngono ile heading ninaamini wengi walifikiria mbali sana....................kwamba huja-do for seven long years...................na wengi wangelipenda kujua "WHY" you are such out of character..........with this wicked and adulterous generation...................just thumping to think beyond my nose, at least for now...........
 
:biggrin:hahahahahaaaa, umenikumbusha movie ya 18 years old virgin, yaani unafanana kabisa na yule dada. Hahahahaaaaaaa. Nimecheka sana, sikutegemea kama unaweza kujiamini na kusema ukweli. Poleeee, natumaini sasa hivi unanyoa. Lol!:lol:
sitaniii apolo ni kweli yaani nikimalizia utanionea na huruma
 
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe

hivi ukitongozwa ni lazima ufanywe?
 
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?

kwenye hizi gal boarding a lot of an intended education is going on particularly investigative sexual organs journalism?
 
Najua ulikuwa ukizipaka mafuta na hata kujichana ili ziwe katika muonekano mzuri eeh!!
Hongera sana kwa kuweza kuishi muda wote huo bila kukata miti katika msitu wako nadhani kama alibahatika mtu kuingia msituni aliienjoy sana kuona miti ya aina tofauti huku kukiwa na kimvuli safi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom