Ushuhuda wa Dr. H. Mwakyembe

Natamani sana kujua ngozi ya Dr. Mwakyembe inaendeleaje? Maana huu ushuhuda ulikuwa na lengo la kupeleka uponyaji wake next level.....

Nikimaliza kwenye ushuhuda wa Mwakyembe naenda ngazi ya pili ya kuwa kabidhi CDM nchi..Huu mtihani wa afya ya Mwakyembe ilikuwa zoezi zima la jinsi imani inavyoweza kulikomboa taifa langu..Kama mchawi anaweza weka mtu madarakani si zaidi sana kwangu mimi ninaye mjua Mungu aliye hai? Mwenye wivu na ajinyonge Yesu akiwa enzini mambo yote ni sawa sawa!
 
This is for CDM,

Kama ilivyo kwa Mh Mwakyembe hakukua na matumaini yeyote na wengi waliamini ndiyo hivyo atarudi kwenye sanduku!

Please and please msijiulize itafanyikaje, itakuaje, mbona mazingira hayaonyeshi kuwa tutashinda? Hayo yote yangekuwepo ushindi wenu utakuwa ni kazi ya mikono yenu; Lakini katika hali hii mkishinda basi hata ninyi hamtahitaji nguvu kuamini ni muujiza. Ndivyo Mungu atendavyo kazi, hapendi kushirikisha utukufu wake na mtu awaye yote.... Msidanganyike wala msikate tamaa. Hamhitaji kitu zaidi ya mlicho nacho wala maandalizi zaidi ya mlivyojianda lakini kuanzia mwishoni mwa mwaka huu mambo yatakayotokea hamtaamini macho yenu.

Nimeweka agano na Mungu na Mungu ninaye mwamini anaweza! Hahitaji kitu chochote zaidi ya imani na neno lake. Ahadi yake kwangu ni neno lililohai na zawadi ya imani yake kwangu ni kitendea kazi chake kutimiza ahadi yake.

Narudia tena fisadi yeyote hata kanyaga ikulu ya Tanzania si kwa nguvu wala uweza bali ni kwa roho wa Mungu aliye hai!
 
My fellow CDM hii ni reminder; kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa mlishuka morale mkadhani wimbi lile la wasiowaaminifu litaathiri mstakabali wenu kwenye chaguzi zile, nikawaandikia kuwa si kazi wala juhudi zenu bali neno linalosimamia haya. leo tena nakuja kuwakumbusha msiyumbishwe wala kuhadaika wala msifadhaike, dhoruba itakayo nyayua adui zenu hamtalijua lemetokea wapi na upande gani; as from next week the clouds will be clear!

Its done three years ago kilichobaki ni manifestation tu kuileta kwenye physical appearance; be calm and stand still another surprise on the way..

Father of heaven I glorify your holly and mighty name in the name of my Lord Jesus christ of Nazareth; Amen and Amen
 
Ni dua nzuri, lakini kumbuka hata wale waliomfanyia Mwakyembe ubaya huo wako makanisani. Wanasali na kutakaswa... Wanaendesha harambee na kumtolea Mungu sadaka vilevile! Pengine wanafanya hivyo kama ishara ya toba!! Je unaonaje? Pamoja na dua hii ya kutaka hao wabaya waangamie, Mungu ataisikiliza dua ya nani kati ya hao wawili?

Toba na kumtolea Mungu sadaka ni vitu viwili tofauti
 
  • Thanks
Reactions: Ame
My fellow CDM hii ni reminder; kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa mlishuka morale mkadhani wimbi lile la wasiowaaminifu litaathiri mstakabali wenu kwenye chaguzi zile, nikawaandikia kuwa si kazi wala juhudi zenu bali neno linalosimamia haya. leo tena nakuja kuwakumbusha msiyumbishwe wala kuhadaika wala msifadhaike, dhoruba itakayo nyayua adui zenu hamtalijua lemetokea wapi na upande gani; as from next week the clouds will be clear!

Its done three years ago kilichobaki ni manifestation tu kuileta kwenye physical appearance; be calm and stand still another surprise on the way..

Father of heaven I glorify your holly and mighty name in the name of my Lord Jesus christ of Nazareth; Amen and Amen

Juzi umeahamia kwa Magufuli
au bado upo kwa CDM?

Je chaguo la Mungu sasa ni CCM?
 
Juzi umeahamia kwa Magufuli
au bado upo kwa CDM?

Je chaguo la Mungu sasa ni CCM?

Kwani Magufuli ni institution? Mimi kama Ame naweza kuwa na chaguo langu lakini Mungu anabakia wa kuaminiwa mwenye nguvu na mwenye haki. Nafurahi kuwa hata ikitokea kwa bahati mbaya goli la mkono bado mafisadi hawatakanyaga jumba letu jeupe.


Glory honor power and majesty belong to God!
 
Juzi umeahamia kwa Magufuli
au bado upo kwa CDM?

Je chaguo la Mungu sasa ni CCM?

Lord my God is not the author of confusion neither a respecter of persons; He is holly and just


These were my prophetic messages in 2011..

Mimi kama mhubiri acha niweke nabii zangu za JF labda wenye macho mtaona, wenye masikio mtasikia na wenye akili mtatenda sawasawa na myaonayao na kusikia na hasa chama changu cha CHADEMA...Kuna watu ambao wana patience ya ajabu na perseverence yakuogopeka nao wote waweza kuamua kutengeneza trichotomy ya ajabu...Hata hivyo naona equation yao inaanza kubalance....


This is my standing point...
Lakini Web wewe uko upande gani? Wa nchi, wa CCM ama wa CHADEMA? Some of us are for the country's future so for me it does not matter whatever available resources can be used to build future; unfortunately I see CHADEMA for politics to be an avenue where we can take our national agenda for its not yet developed into a dominant system na baadaye tutaiacha iendele na politics zake na kuwapa nafasi wengine kuanza parties zinazoweza kufanya politics na siyo kulinda mafia interests; wakati huo wengine tutaendelea na profession zetu na kujitenga mbali na siasa kwani siasa siyo sehemu yetu. This is a war where we dont care what can be used to deafeat the enemy! I ask you to join us in this fight; the fight for our true identity as a country. Its a holly fight which the reward is not from man but from Him we all belong to. Is a fight for the help of the poor and needy who are taken captive at their own will by the people they trusted can defend them and their interests. Few can die and few can loose some of their parts but majority including our descendants, shall win and rejoice forever.


Don't under estimate this guy my friend wakati wenzake wanategemea nguvu ya pesa yeye pamoja na kuitwa
 
Back
Top Bottom