Ushuhuda Toka Loliondo....Serikali Inaficha Nini Loliondo..Wakati Wanajua Hakuna Tiba?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na bwana Mwilima. Hawa vijana wameongea mengi sana ya maana, na ninaungana nao katika hili, kwani hakuna cha tiba wala cha nini kwa babu. Wale wote waliojifanya wamepona, ndo wale wanaokufa

Kwanza, mimi ni muhathirika wa ukimwi. Niliomba ruksa ya dharura ofisini, nikafungasha, na kuondoka kwenda kwa babu. Nilipata kikombe changu baada ya siku nne tu. Kwa sasa nadhani inachukua zaidi ya wiki au mbili kumfikia babu. Yalioyonikuta loliondo, naogopa hata kuadisia; tulilala nje kwa kipindi chote. Nilishudia watu waliokuja na dripu toka hospitalini. Kweri watu wamekata tamaa humu nchini. Baada ya kupata kikombe changu, nilirudi zangu DAR. Siku 12 zikapita nikawa situmii ARV's , ghafla hali yangu ikawa mbaya sana ikabidi nikimbizwe hospitalini. Nilizirudia ARV zangu na sasa hali yangu imeimarika kiasi
Rafiki yangu, mwenye virusi vya ukimwi naye alienda kwa babu, karudi, na kuanza kutangaza kwamba kapona. Jana hali yake ikawa mbaya kweli, ikabidi tumpeleke hospitali ya amana. Ina maana wiki tatu aliamini amepona, kumbe ugonjwa ukawa unamtafuna zaidi. Nadiriki kusema wazi kwamba sidhani yupo hata mmoja aliyepona kwa babu. Kilichonishangaza zaidi ni hali niliyoikuta loliondo.

Nikiwa kwenye foleni, watu wanne wamefariki pale nikiwatizama, ila kuna mdada wa makamu alikata roho akisubiri muda wake wa kupata kikombe. Cha ajabu, ndugu zake badala ya kuurudisha mwili wake kwao Dodoma, walijifanya kuondoka naye na matokeo yake kumtupa njiani kama kilometa 20 toka hapo kwa babu. Watu wengi wametupwa njiani, hasa pale ndugu wanaposhindwa na cha kufanya. Ili kuiokoa jamii dhidi ya magonjwa ya mlipuko huko loliondo na watu kutupwa kama wanyama polini, serikali inabidi iingilie kati, kwani hali ya loliondo ni mbaya zaidi na viombo vya habari vinatufichia ukweli...jamani, kuna kitu loliondo, kuna kitu kinafichwa. aliyepima kabla ya, na kupata matokeo negative baada ya, ajitokeze. mimi sikuluka foleni, na nilikuwa na imani mpaka hali yangu inakuwa mbaya nilidhania nimepona ukimwi....
Mollel
 
The CCM government has been completely useless in dealing with everything in Tanzania. Are you honestly surprised that they continue to be useless?
 
Mkuu ayo ni mambo ya imani. Kama huna imani na kama una ngoma basi kilichopo subiri siku itimie. Hamna imani alaf mnalalama lalama,itakula kwenu!
 
Watu wanapo bana ata hizo kama ulikuwa huna lman kivyako, mtoto wa uncle miaka 8, tumempeleka kwa babu na jana tumetoka maria stoper hana ngoma. Mara ya tatu sasa. Mkuu ile foleni si ya wenda wazimu, watu wanapona... Kikombe cha babu abi ni lmani, kama huamini huponi
 
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na bwana Mwilima. Hawa vijana wameongea mengi sana ya maana, na ninaungana nao katika hili, kwani hakuna cha tiba wala cha nini kwa babu. Wale wote waliojifanya wamepona, ndo wale wanaokufa

Kwanza, mimi ni muhathirika wa ukimwi. Niliomba ruksa ya dharura ofisini, nikafungasha, na kuondoka kwenda kwa babu. Nilipata kikombe changu baada ya siku nne tu. Kwa sasa nadhani inachukua zaidi ya wiki au mbili kumfikia babu. Yalioyonikuta loliondo, naogopa hata kuadisia; tulilala nje kwa kipindi chote. Nilishudia watu waliokuja na dripu toka hospitalini. Kweri watu wamekata tamaa humu nchini. Baada ya kupata kikombe changu, nilirudi zangu DAR. Siku 12 zikapita nikawa situmii ARV's , ghafla hali yangu ikawa mbaya sana ikabidi nikimbizwe hospitalini. Nilizirudia ARV zangu na sasa hali yangu imeimarika kiasi
Rafiki yangu, mwenye virusi vya ukimwi naye alienda kwa babu, karudi, na kuanza kutangaza kwamba kapona. Jana hali yake ikawa mbaya kweli, ikabidi tumpeleke hospitali ya amana. Ina maana wiki tatu aliamini amepona, kumbe ugonjwa ukawa unamtafuna zaidi. Nadiriki kusema wazi kwamba sidhani yupo hata mmoja aliyepona kwa babu. Kilichonishangaza zaidi ni hali niliyoikuta loliondo.

Nikiwa kwenye foleni, watu wanne wamefariki pale nikiwatizama, ila kuna mdada wa makamu alikata roho akisubiri muda wake wa kupata kikombe. Cha ajabu, ndugu zake badala ya kuurudisha mwili wake kwao Dodoma, walijifanya kuondoka naye na matokeo yake kumtupa njiani kama kilometa 20 toka hapo kwa babu. Watu wengi wametupwa njiani, hasa pale ndugu wanaposhindwa na cha kufanya. Ili kuiokoa jamii dhidi ya magonjwa ya mlipuko huko loliondo na watu kutupwa kama wanyama polini, serikali inabidi iingilie kati, kwani hali ya loliondo ni mbaya zaidi na viombo vya habari vinatufichia ukweli...jamani, kuna kitu loliondo, kuna kitu kinafichwa. aliyepima kabla ya, na kupata matokeo negative baada ya, ajitokeze. mimi sikuluka foleni, na nilikuwa na imani mpaka hali yangu inakuwa mbaya nilidhania nimepona ukimwi....
Mollel

Serikali haina inachoficha ila wanajua kuwa hivi sasa wamebanwa sana na hali ngumu ya maisha kutoka kwa wananchi kukipatia chama kikuu cha upinzania agenda yenye nguvu na yenye kuteka hali halisi ya watu. Sasa kutokea kwa Loriondo na habari zake kuna wapumzisha na shinikizo hizi za kutatua matatizo ambayo yamewashinda. Ndiyo maana viongozi wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenda kupata kikombe ambacho wanajua fika kuwa ni magilini ya babu. Na hizi ni moja kati ya strategy za usalama wa walio madarakani, kutafuta habari za kuwasahaulisha watu. Ila kuna msemo mmoja uliokuwa ukitumiwa na mababu enzi zile za kupika ugali kwenye chungu halafu mboga unamwagia juu yake na chungu kuonekana kimejaa mboga na wewe kuanza kula mboga iliyo juu kwanza, walikuwa wakisema hivi "KOMBA KASOMA ULAFIKA NA TWIMEGE" Yaani komba mboga ila utafika wakati itabidi ufikie ugali na kuumega na hapo sasa utaanza "Kulumangia" Yaani kula ugali bila mboga. Time will tell, acha wakae kimya tu ila wakishituka itakuja kuwa ni worse zaidi.
 
Nadhani Serikali inajikausha kwa sababu Loliondo imewapatia muda wa kupumua baada ya mawazo ya wananchi kuelekezwa kwa Babu zaidi...
 
Pole sana MGsalon. Jaribu kikombe cha bibi, dogo n.k Mwamini Mungu nawe utapona.
 
Mhhh bora wewe umesema nangojea wengine wajitokeze, na ikitokea kuwa waliokunywa kikombe wote wanadedi yani itakuwa kuanzia balozi wa nyumba kumi mpaka rais, waache wadedi sie tule vyao lol
 
Pole sana kama ni kweli, ila usikate tamaa Mungu yupo kwa ajili yako. Yeye Mungu ni wa rehema, na anakuwazia yaliyo mema. Mwamini yeye na mwabudu yeye kwani yeye ndie akupae afya. Barikiwa.
 
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na bwana Mwilima. Hawa vijana wameongea mengi sana ya maana, na ninaungana nao katika hili, kwani hakuna cha tiba wala cha nini kwa babu. Wale wote waliojifanya wamepona, ndo wale wanaokufa

Kwanza, mimi ni muhathirika wa ukimwi. Niliomba ruksa ya dharura ofisini, nikafungasha, na kuondoka kwenda kwa babu. Nilipata kikombe changu baada ya siku nne tu. Kwa sasa nadhani inachukua zaidi ya wiki au mbili kumfikia babu. Yalioyonikuta loliondo, naogopa hata kuadisia; tulilala nje kwa kipindi chote. Nilishudia watu waliokuja na dripu toka hospitalini. Kweri watu wamekata tamaa humu nchini. Baada ya kupata kikombe changu, nilirudi zangu DAR. Siku 12 zikapita nikawa situmii ARV’s , ghafla hali yangu ikawa mbaya sana ikabidi nikimbizwe hospitalini. Nilizirudia ARV zangu na sasa hali yangu imeimarika kiasi
Rafiki yangu, mwenye virusi vya ukimwi naye alienda kwa babu, karudi, na kuanza kutangaza kwamba kapona. Jana hali yake ikawa mbaya kweli, ikabidi tumpeleke hospitali ya amana. Ina maana wiki tatu aliamini amepona, kumbe ugonjwa ukawa unamtafuna zaidi. Nadiriki kusema wazi kwamba sidhani yupo hata mmoja aliyepona kwa babu. Kilichonishangaza zaidi ni hali niliyoikuta loliondo.

Nikiwa kwenye foleni, watu wanne wamefariki pale nikiwatizama, ila kuna mdada wa makamu alikata roho akisubiri muda wake wa kupata kikombe. Cha ajabu, ndugu zake badala ya kuurudisha mwili wake kwao Dodoma, walijifanya kuondoka naye na matokeo yake kumtupa njiani kama kilometa 20 toka hapo kwa babu. Watu wengi wametupwa njiani, hasa pale ndugu wanaposhindwa na cha kufanya. Ili kuiokoa jamii dhidi ya magonjwa ya mlipuko huko loliondo na watu kutupwa kama wanyama polini, serikali inabidi iingilie kati, kwani hali ya loliondo ni mbaya zaidi na viombo vya habari vinatufichia ukweli...jamani, kuna kitu loliondo, kuna kitu kinafichwa. aliyepima kabla ya, na kupata matokeo negative baada ya, ajitokeze. mimi sikuluka foleni, na nilikuwa na imani mpaka hali yangu inakuwa mbaya nilidhania nimepona ukimwi....
Mollel

Mitume na Manabii mapato yamepungua sk hizi makanisanai mwenu, watu wanachanga nauli ya kwenda Loliondo! ...mtasema sana mwaka huu!! babu juuu!!!
 
Mitume na Manabii mapato yamepungua sk hizi makanisani mwenu, watu wanachanga nauli ya kwenda Loliondo! ...mtasema sana mwaka huu!! babu juuu!!!
 
pole sana mkuu.ukweli ni kwamba kikombe kimoja cha dawa ya babu hakiwezi kuponya magonjwa sugu,haijawahi na wala hatotokea.kuna gazeti limewahi kureport kuwa kati ya watu 5 hadi 7 hufa ama wakiwa kwenye foleni au mara baada ya kunywa dawa hii feki,hii inamaanisha kwa kipindi cha wiki 8 wamekufa watu sio chini ya 400 kutokana na uhuni unaofanywa na babu,kkkt na washirika wake.naamini vifo hivi vingeweza kuzuilika iwapo serikali ingefuata mfumo wake wa kutambua dawa halali ya matibabu husika.
Jambo linalonipa wasiwasi hasa kwa wagonjwa wa ukwimi ni the so called treatment failure,sina hakika kama serikali na NGOs zimejiandaa kupokea wimbi kubwa la watu watakaohitaji 2nd line ya HIV treatment kwa kuwa wengi wa walioacha dawa watahitajika kubadilisha na kuingia kwenye 2nd line which is more expensive.
Sielewi kwa nini wataalamu wa mambo haya wako kimya?
 
Mimi nilikuwa kisukari nikaenda kwa babu na nimepona kabisa, na sasa hivi napiga lager vizuri tu na mazaga zaga mengine ambayo nilikuwa situmii... Kumbuka imani nendo pana sana ambalo ndani yake kuna mambo mengi mno, huwezi kuniambia kuwa ulikuwa na imani ya kupona wakati ujatengeneza mapito yako.
 
Kama swala ni imani then you don't need to goto loliondo, hata hapo unaweza ukaomba Mungu upone na ukapona bila kuingia garama ya loliondo! kwenda huko maana yake unafuata tiba ya kienyeji na siyo imani!
 
Ni yupi aliye na imani katika dunia ya leo?kama yupo mwenye imani kiasi cha punje ya haradali na aanze kuamisha mlima kilimajaro uende Dodoma ili kenya wasiseme uko kwao.
 
2wekee vyeti vya b4 n after dawa! Huyo mtoto wa 8yrs anajua Iman ni nini?
Watu wanapo bana ata hizo kama ulikuwa huna lman kivyako, mtoto wa uncle miaka 8, tumempeleka kwa babu na jana tumetoka maria stoper hana ngoma. Mara ya tatu sasa. Mkuu ile foleni si ya wenda wazimu, watu wanapona... Kikombe cha babu abi ni lmani, kama huamini huponi
 
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na bwana Mwilima. Hawa vijana wameongea mengi sana ya maana, na ninaungana nao katika hili, kwani hakuna cha tiba wala cha nini kwa babu. Wale wote waliojifanya wamepona, ndo wale wanaokufa

Kwanza, mimi ni muhathirika wa ukimwi. Niliomba ruksa ya dharura ofisini, nikafungasha, na kuondoka kwenda kwa babu. Nilipata kikombe changu baada ya siku nne tu. Kwa sasa nadhani inachukua zaidi ya wiki au mbili kumfikia babu. Yalioyonikuta loliondo, naogopa hata kuadisia; tulilala nje kwa kipindi chote. Nilishudia watu waliokuja na dripu toka hospitalini. Kweri watu wamekata tamaa humu nchini. Baada ya kupata kikombe changu, nilirudi zangu DAR. Siku 12 zikapita nikawa situmii ARV’s , ghafla hali yangu ikawa mbaya sana ikabidi nikimbizwe hospitalini. Nilizirudia ARV zangu na sasa hali yangu imeimarika kiasi
Rafiki yangu, mwenye virusi vya ukimwi naye alienda kwa babu, karudi, na kuanza kutangaza kwamba kapona. Jana hali yake ikawa mbaya kweli, ikabidi tumpeleke hospitali ya amana. Ina maana wiki tatu aliamini amepona, kumbe ugonjwa ukawa unamtafuna zaidi. Nadiriki kusema wazi kwamba sidhani yupo hata mmoja aliyepona kwa babu. Kilichonishangaza zaidi ni hali niliyoikuta loliondo.

Nikiwa kwenye foleni, watu wanne wamefariki pale nikiwatizama, ila kuna mdada wa makamu alikata roho akisubiri muda wake wa kupata kikombe. Cha ajabu, ndugu zake badala ya kuurudisha mwili wake kwao Dodoma, walijifanya kuondoka naye na matokeo yake kumtupa njiani kama kilometa 20 toka hapo kwa babu. Watu wengi wametupwa njiani, hasa pale ndugu wanaposhindwa na cha kufanya. Ili kuiokoa jamii dhidi ya magonjwa ya mlipuko huko loliondo na watu kutupwa kama wanyama polini, serikali inabidi iingilie kati, kwani hali ya loliondo ni mbaya zaidi na viombo vya habari vinatufichia ukweli...jamani, kuna kitu loliondo, kuna kitu kinafichwa. aliyepima kabla ya, na kupata matokeo negative baada ya, ajitokeze. mimi sikuluka foleni, na nilikuwa na imani mpaka hali yangu inakuwa mbaya nilidhania nimepona ukimwi....
Mollel
Pole sana, watu wamepona wengi tu. Ili wewe naona issue yako ni serious anza kuhesu siku
 
Back
Top Bottom