Kuna mazingira yatakulazimu kutumiaMimi cjawahi kutumia bangi,labda tuwasubiri wenyewe
Tatizo la bangi ni kama kupiga nyeto ukianza basi huachi... Na bangi haina faida zaidi ya hasara... Chidbenzi alianza na bangi ikampandisha rank mpaka madawa ya kulevya bangi ni mmea sio wa kukenulia meno kama umeona sukumawiki... Weka mbali na uhai wako
Dah..., za bia mkuuRound zipi? hizo
Kumbe ni dawa kiasi hiki?Nilikuwa na vidonda vya tumbo ambavyo hali take ilikuwa mbaya sana hasa nilipofika kidato cha tatu. Nilipewa Dawa za hospital I sikupata nafuu. Akaja Mzee mmoja akawashauri wazee kuwa Dawa yake in hiyo kitu ikisagwa na kuwekwa kwenye maziwa ya moto. Nilikataa kabisa kutumia Dawa hiyo, lakini kwa sababu nilikuwa mgonjwa ilinibidi nikubali tu! Yule Mzee aliileta na kuitengeneza. Nilikuywa mchanganyiko huo kwa siku kama saba hivi, baada ya halo nilipona kabisa mpaka Leo. Nilikunywa kwenye maziwa na sikuvuta, na siwashauri watu kuitumia.
Hiyo hata mimi ilinitokea katka,mazingira,fulanKuna mazingira yatakulazimu kutumia
Mkuu huu mmea haufai sana kuujaribu ukubwani unless uko tayari kufanya mambo ya ajabu... Kuna ule umri ambao mtu ulikua unajaribu vitu vingi ndo mda mzuri wa kuanziaBado sijatumia ila naunga mkono wanaotumia kwa faida... Tatzo la bangi haihitaji uwe na tatzo maana itakuchanganya kwa kuover thinking... Nasikia inafungua kale kajicho ka tatu ukiitumia kwa manufaa..
Ipo siku nitauonja mmea
Hahahaha, nimecheka sanaTulikuwa na tatizo la mauzauza bwenini, tukaambiana kuwa bangi ni dawa ya majini. Tumepuliza almanusura tuwe machizi but songombingo la majini liko pale pale.
Si kila jini linaogopa bhangi mengine ni watemi na wababe balaa tena ni watumiaji wazuri tuu...nyie mnagongeana msokoto mmoja tena kwa kujificha yeye msokoto wake mmoja ni kama zile sigara za sigarTulikuwa na tatizo la mauzauza bwenini, tukaambiana kuwa bangi ni dawa ya majini. Tumepuliza almanusura tuwe machizi but songombingo la majini liko pale pale.
Kumbe ni kama kilevi kingine chochote tu kama vile ngono na mundeMashariti ya bangi.
1. Uwe na kazi ya maana na pesa sio ya kuwazawaza.
2. Usitumie kilevi Cha aina yoyote ( bangi sio kilevi ni kuburudisho tu).
3. Uwe ni mtu anae kula chakula cha kueleweka ( simaanishi kingi). Chenye balance yote.
3. Uwe mtu wa mazoezi angalau hata mara mbili kwa wiki.
4. Vuta peke yako, ile ya magroup sio nzuri. Hii itakusaidia kuwa na kipimo kimoja siku zote, usiongeze dozi.
5. Uwe na siku maalum na muda maalum wa kuivuta, sio kila siku na wakati wowote.