Ushuhuda kanisani!

Dec 19, 2011
11
3
Mchungaji m1 aliamua kuivunja siku ya juma2 na kutoa nafas kwa waumin wake kushuhudia #1: mchungaj asante kwa maomb yak coz zman nlikua nkenda haja kubwa ctoi ki2 nlivyoenda kwa dokta akanambia hyo inaitwa replacement of human west product lkn baada ya maomb yako ss hvi najaza kisado #2: mchungaj nashkuru kwa maomb yak coz kbl ya kuniombea nlikuaga nakula ule mkate mkubwa mwenyewe lakin baada ya maomb yako ss hv nakula karatasi natupa mkate dah!
 
Jina la jukwaa hili ni UTANI+UDAKU. Sasa hii iko wapi kati ya utani na udaku? Nimeshindwa kuelewa.
 
Ooooky guys polen coz i made u cry y u want 2 b happy au? Hay coz haichekesh oso mm ckutak mchez i jas wanted u 2 cry! So ht ukiendelea kulia wea ua now n furaha yang kubwa tena sana kumona m2 mwenye zaid ya miaka 25 km weye analiyiiia
 
Haya ki2 ndan ya ki2 pata majibu mapyaa ya methal za kiswahl: #1 kuku mgeni =mpokee begi #2 haba na haba=ni haba mbili #3 asiyefunzwa na mamaye =ni yatima #4 simba mwenda pole=anamnyemelea yanga #5 samaki mkunje til aenee kwenye kikaango #6 wakere wanaJF kwa post zako huone how zey knw 2 cment n krit one luv one heart lets get 2geza n ze fiiil oolryt
 
Imenifurahisha na nimeipenda big up
 
Back
Top Bottom