Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Imefahamika kuwa vitendo vya kishoga kwa our fellow brothers wa kitz wanaoishi Atlanta GA vimeshika kasi ya ajabu.Wengi wamekuwa wakifanywa vitendo hivyo kwa kutafuta urahisi wa maisha.Hii inasikitisha kwa kweli imekuwa inatokea sana kwa dada zetu kufanya vitendo vya kimalaya lakini hili la brothers wa kitz wa Atlanta kulalwa linasikitisha sana.