Ushoga unadumaza wanawake:wanawake huko songea wawaka

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
katika kuchangia maoni kuhusu nn kiwepo kwenye katiba mpya wanwake huko songea wameliambia jukwaa kuwa serikali ipige marufuku vitendo vya ushoga kwani wanawake wengi hawana wanaume ama hawaolewi kutokana na kuwepo na competition na mashoga.
My take: hili nalo neno
Source: mwananchi tar 26 sept .uk 12
 
mama ngaiza aliwah kunifundisha hivi, katika harakati za kudai haki sawa za wanawake, zimewafanya hata wanaume waone kama wananyanyasika so wakaanza nawao kutaka waingiliwe kimwili kama ambavyo wanawake wanaingiliwa kimwili na wanawake nao wakaona kwamba kuliko kurushwa maji na wanaume basi ni afadhali tupeane raha wenyewe bila kurushwa maji.

to me i hate this idea
 
1.Wakiacha hasira na kuwanttima waume wao hatutatafuta mteremko
2.Wakiacha kutunanga na magari na visenti vyao tutajirudi
3.Mwanamke akiwa Boss hata kilabu cha Pombe humqwei atataka wa juu zaidi msagishaji nafaka ili apate pumba za bure au muuza bia za jumla
 
Back
Top Bottom