Ushirikiano wa elimu baina ya zanzibar na oman

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
304440_4011928180511_1478012703_n.jpg

Zanzibar’s Minister for Labour, Cooperatives and Economic Empowerment, Haroun Ali Suleiman and Oman Minister for Higher Education Dr. Rawiyah AL Busaidi sign and exchange legal instruments on Memorandum of Understanding on Cooperation in higher Education between Oman and Zanzibar while President Jakaya Kikwete witness the signing ceremony. (photo: State House)
 
Tujiandae kusikia historia mpya ya biashara ya utumwa ambapo Oman itaoshwa na kuonyeshwa kama haikushiriki kwenye jinai hii. Kweli mabaki ya utumwa bado yapo. JK anakenulia matokeo ya utumwa. Hawa si watu wa kuwa nao uhusiano sawa na washenzi wenzao wa Magharibi kabla ya kudai watulipe fidia kwa ushenzi waliotufanyia. Mbona wayahudi wamelipwa wakati ni wachache kuliko sisi?
 
Mkuu.@Father of All Watu wanataka kwenda mbele wewe unarudi nyuma? hakuna mambo ya Biashara ya Utumwa mkuu. Biashara za Utmwa Zimeshapitwa na wakati .
 
Mkuu Mzizimkavu niombe radhi. Sijaongelea mambo ya nyuma zaidi ya kusema historia. Soma between the lines utaelewa. Naona leo umepitiwa au umeishapata chochote kitu?
 
Mkuu Mtimkavu sorry mwanangu MzizimkavuSina ugomvi na hili kama
a) Litakubaliwa na pande zote mbili katika muungano
b) Wakiacha kutuita wakoloni wakati walituita wenyewe kuungana nao ili kuepusha wasipinduliwe na sultani waliyempindua.
c)Watatuhakikishia kuwa hawatatumiwa na al qaida na al shabaab kuhatarisha usalama wa taifa letu.
d) Kama watakuwa na uwezo wa kujitawala kwa mfano kuwa na miundo mbinu ya kiutawala kama vile jeshi na uchumi unaoweza kujiendesha bila ya kutaka sisi kuwaendesha kama tunavyoendeshwa na wazungu.
e) Watakuwa tayari kuchukua watu wao waliojazana bara.
f) Watadai huo utawala kisheria na kistaarabu.
 
Mkuu Father of All mbona Umetoa Masharti kibao?
Kwa Mfano wewe unaye Mke? Na kama unaye huyo Mke umeishi nae zaidi ya mika 40 na kuanzia sasa amesha

kuchoka anadai kil siku mpe talaka

wewe hutaki kumpa talaka yake je unataka akuuwe wewe au ajiuwe yeye mwenyewe?Ujuwe kuwa hakupendi? Chagua moja kati ya hayo

mawili Umpe talaka yake au hutaki kumpa talaka yake akuuwe wewe, Unasemaje mkuu? Kwa ufupi Ndugu zetu Wa Zanzibar wamesha

choka na ndoa ya Muungano wanacho taka Talaka ya Muungano unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzizimkavu mfano wako hauswihi ikizingatiwa kuwa katika ndoa neno mapenzi. Kwenye muungano hakuna mapenzi zaidi ya maslahi. Hata tukitumia mfano wa ndoa mke wangu hana uwezo wa kuniua kwa vile akili yake kidogo si nzuri. Hivyo she can't form such an intent given that she is a bit insane. Therefore no way one can enter any reasonable deal with an insane person. Nimetoa masharti ili zenj watulize akili na kuanza kutumia njia zitokanazo na fikra badala ya jazba na hasira. Kwani ulikuwa hujui kuwa uamsho walikuwa wakishirikana na SMZ kushinikiza kuvunjwa muungano kabla ya kustukiana kuwa kumbe CUF na uamsho walitaka kuitumia SMZ kujitia kitanzi.
 
Mkuu Father of All pamoja na hayo yote Wamesha uchoka WaZAnzibar na huo Muungano wenu wanataka wao peke yao unasemaje?Kwa Mawazo yako?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh ina ulazima gani JK awepo kwenye function hii, maana inahusisha lower ranks zaidi, labda ndo sijui protocols
 
so true. Angekuwa anasign yeye ndo huwa naonaga wasaidizi wako nyuma yake. Mi pia sijaelewa uwepo wake hapo.
 
Toa Sababu muhimu kwanini muungano wetu Uvunjike? Achahasira

Hiyo wala haitaki sababu , mf: Mimi na wewe tumechanga kila mmoja Tsh.50000 na kuazisha mradi.
JE, WAKATI WA KUGAWANA MAPOTO UTAKUBALI MIE NICHUKUE 60% NA WEWE UCHUKUE 40% eti kwa sabu mie nina wake wawili na watoto wengi na wewe una mke mmoja na watoto wachache!
NASUBIRI JIBU!
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom