Ushirikiano katika ndoa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hapo sijui mama naye atakuwa anaangalia TV au

Maisha.jpg
 
Mama ameenda kazini! hakuna ubaya kabisa hapo ni kugawana majukumu tu
 
Mmmm kaenda kufanya kazi gani? Ina maana jamaa kashindwa hata kazi ya kusukuma mkokoteni?
 
ubaya uko wapi? kufungia mtoto mgongoni ama kuosha vyombo?
huyu ni baba wa nyumbani (badala ya house wife huyu ni house husband)
 
Jamani kwani imeandikwa wapi au kuna sheria ipi isemayo kubeba mtoto mgongoni ni kazi ya mwanamke? Tuwe na ushirikiano wandugu haaaah
 
Kama Baba anaweza kubeba mwana mgongoni bila matatizo yoyote, basi hakuna ubaya wowote.
 
ubaya uko wapi? kufungia mtoto mgongoni ama kuosha vyombo?
huyu ni baba wa nyumbani (badala ya house wife huyu ni house husband)

Hamna mbay si watafute HG ili wote wakatafute faranga
 
Good one,though singependa afunge mtoto mgongoni na asiwe ni baba wa nyumbani
 
Sema wewe bwana

Wanaume wengine wamejidekeza sana na kuona kwamba kumsaidia mkeo kazi za nyumbani basi uanaume wao utapungua au kuogopa kuambiwa wamelishwa vya kulishwa, kumbe hii inasaidia kuongeza mapenzi ndani ya nyumba.
 
wameshindwa kuafford kuajiri hg na kuongeza kichwa kingine ndani ya familia. baba anatafuta kazi bado hajapata! umeridhika?

Kweli ameridhika maana anachapa kazi kweli kweli na huku anatabasamu inaelekea kuna rundo la nguo za kufua zinamsubiri na baadaye achemshe maziwa ya mtoto na kupika uji wa mtoto na kumlisha mtoto akiamka. Ila nasikia hii inawatokea sana wanaume wa huku kwetu wakipata kisichana kidhungu na kwenda nacho kwao ulaya
 
Wanaume wengine wamejidekeza sana na kuona kwamba kumsaidia mkeo kazi za nyumbani basi uanaume wao utapungua au kuogopa kuambiwa wamelishwa vya kulishwa, kumbe hii inasaidia kuongeza mapenzi ndani ya nyumba.
The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Mom (Today)​
 
Wanaume wengine wamejidekeza sana na kuona kwamba kumsaidia mkeo kazi za nyumbani basi uanaume wao utapungua au kuogopa kuambiwa wamelishwa vya kulishwa, kumbe hii inasaidia kuongeza mapenzi ndani ya nyumba.

Vipi mukubwa upo nyumbani?
 
:becky::becky::becky::becky::becky: usiogope mukubwa ni vijiswali tuuu:becky::becky::becky::becky:

hahahahahaha eti ni vijiswali tu lol! karibu ugali na samaki wa kukaanga, majani ya maboga kwa nazi na bamia za nazi pia na maji baridiiiiiiiiii
:whoo:
 
Kweli ameridhika maana anachapa kazi kweli kweli na huku anatabasamu inaelekea kuna rundo la nguo za kufua zinamsubiri na baadaye achemshe maziwa ya mtoto na kupika uji wa mtoto na kumlisha mtoto akiamka. Ila nasikia hii inawatokea sana wanaume wa huku kwetu wakipata kisichana kidhungu na kwenda nacho kwao ulaya

kama amekimbilia kuolewa na mzungu anastahili hiyo! ila kama kaoa mmatumbi mwenzie hawezi kuachiwa kila kitu afanye mwenyewe hata kama hana kazi, bali atasaidia kile anachoweza
 
hahahahahaha eti ni vijiswali tu lol! karibu ugali na samaki wa kukaanga, majani ya maboga kwa nazi na bamia za nazi pia na maji baridiiiiiiiiii
:whoo:
umepika mwenyewe nami nikaribie?
 
Back
Top Bottom