Ushiriki wa JK kampeni za Igunga

Hawezi kwenda kabisa, ingekua kwenda angeenda wakati wa ufunguzi. Lakini kaona mvuto wake now ni 0
 
wazo lako ni nzuri lakini limekaa kitoto mno, siamini kama mpaka leo hii, mda huu kuna watu ambao wanafikra za miaka kumi iliyopita.. ujui kama wananchi wa sasa wanaangalia sera na mafanikio yao katika maisha katika nyanja za uchumi na siasa za kweli, sasa kama mwenyekiti wako ameshajua hana sera nzuri, au anajiamini kwamba watu aliowatuma wanatosha aende kufanya nini? afu kubali kwamba dunia hii ya sasa lazima kuwe na mgawanyo wa kazi mwenyekiti wako ameenda new york kutuletea maendeleo. Chadema wakienda wote Igunga wako sahihi kwa sababu wao wanamajukumu ya kichama peke yake hawana majukumu ya kiserikali katika mapana yao.... kuwa na fikra endelevu...
 
hawezi kwenda hasirani, mvuto ziro, akiwa anatoa hotuba katika tv watu wanazima tv bado unasema anmvuto, bora wamtumie huyohuyo mangula na mashishanga
 
JK hana cha kupoteza. sioni sababu ya yeye kwenda igunga. akina zito, lipumba, slaa, mbowe na wengineo bado wanahitaji kwenda juu. lakini jk yupo kileleni. atakuwa mjinga kama atapoteza muda wake. nilizoea kumsikia mara kaenda dom, mara arusha, mara moshi mara singida. lakini siku hizi anakula bata tu na ninapopost hii thread yupo marekani. now you can see. open your eyes.
 
Mmh! Wapambe utawajua tu!...
 
Tumeona wenyekiti wa vyama vyenye ushawishi mkubwa vya CDM na CUF kupeleka wenyeviti wao katika kampeni za ubunge jimbo la Igunga zinazoendelea hivi sasa.

Kutokana na tathmini na taarifa kadhaa za kiutafiti imebainika kuwa vyama vyenye ushawishi mkubwa jimboni hapo ni CCM na CDM na ijulikane kuwa mnano tarehe 25 ya mwezi huu CDM wanampango wa kuingiza silaha zao za mwisho za maangamizo kama vile, Sugu,Wenje,Mnyika,Mdee,Kiwia,Lema n.k hawa ni watu wenye ushawishi mkubwa sana kwa vijana kitu ambacho CCM hatuna vijana wenye ushawishi wa kiasi hiki,

Je ni wakati muafaka sasa wa mwenyekiti wetu ambaye ni mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee kuingia Igunga na kumalizia mashambulizi, wasawasi wangu ni pale matokeo ya uchaguzi yakaonekana tumeangushwa je umaarufu wa mwenyekiti wetu na chama kwa ujumla utakuwa kwenye hali gani.

Je ni wakati muhimu sasa wa kuomba nguvu za mwenyekiti?
Yasije tu yakamkuta yaliyomkuta mkuu wa wilaya.
 
Unazungumzia hivyo vyama uchwara ambavyo wenyeviti wake wakiugua malaria navyo vinakufa? CCM siyo hivyo vyama vya duka la mhindi.
 
Ni ngoma ndogo sana haisumbui akili kabisa, tukutane ktk mahesabu ya kura.
 
Nyota zote za watu mahiri alizokuwa amezinyang'anya na alizokuwa akitumia mwaka 2005 zimeenda na Marehemu Sheikh Yahaya! Sasa hana nyota wala Mvuto.Aende IGUNGA akaanguke JUKWAAANI? Emu acha Kumdhihaki Mhe. Mwenyekiti. Mwache akanunuliwe tena SUTI kule Marekani.
 
Mwenyekiti wenu anajua kuwa hakushinda uchaguzi wa 2010. Self confidence imemwishia kabisa. Nitashangaa akitinga Igunga.

Mkuu Jasusi, heshima mbele sana mkuu.

Matokeo yaliyo tangazwa na tume HURU ya Taifa ya uchaguzi yalionyesha mkuu alishinda kwa zaidi ya 60%, na ninapoandika hapa yupo hapa US katika vikao na watu wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika duru la siasa za dunia.
 
Mkuu mwenyekiti ndio kwanza kenda za New York kujipoza...Mwenzake Karzai wa Afghanstan karudi nyumbani baada ya rais wa zamani kuuawa, kaahirisha kabisa mkutano wa UN hali JK watu zaidi ya 1000 wamekufa maji hakwenda hata Pemba kuwapa pole kaishia Unguja mara huyooo New York - siku ya maombolezi Pemba katuma wajumbe.

Heshima mbele mkuu Mkandara,

Kiongozi wa nchi yuko US kwa ajili ya maendeleo ya Taifa (40,000,000+ppl) lake kwa ujumla, kama kiongozi wa nchi hawezi kufanya kila jambo kazi nyingine inabidi awaachie wasaidizi wake, lakini kama kiongozi wa chama (5,000,000ppl) once anapoona upinzani wanakuja juu inabidi ajitokeze na aende field kwenye mapambano.
 
Nimejaribu kuangalia polls zinazofanywa na baadhi ya vyombo mbali mbali na kupata mshtuko wa ajabu, hali yetu siyo nzuri mbali na kuwa na chama chenye wanachama wengi na resources za kutosha, ni kwa nini tunapelekwa mchakamchaka Igunga ambayo iko katika mkoa uliyoleta chachu ya mabadiliko TANU.

Do we need Mwenyekiti for this Igunga stuff?
 
Huu uchaguzi sioni sababu ya mwenyekiti wetu awepo sababu kuu ni kwamba CCM tumeshashinda kwa kutumia nguvu kidogo sana tusibiri chaguzi kama ya jimbo la UBUNGO kwani kuna kila dalali kesi iliyofunguliwa CCM ikashinda
 
Mkuu Jasusi, heshima mbele sana mkuu.

Matokeo yaliyo tangazwa na tume HURU ya Taifa ya uchaguzi yalionyesha mkuu alishinda kwa zaidi ya 60%, na ninapoandika hapa yupo hapa US katika vikao na watu wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika duru la siasa za dunia.
Chifu Mangungo a.k.a kilaza anapokaa na wakuu tena wenye ushawishi na siasa za dunia hii,ni matokeo yake kama siyo nchi kuuzwa kwa bei mchekea? Mtu anayemega nchi kwa hongo ya viwalo kuna usalama hapo kweli .Ndo maana huwa natamani hii nchi ipgpindulliwe tu m'kiti na rais ambaye hana ushawishi kwenye nchi na chama chake mwenyewe ataongea nini na wakubwa hao chenye maslahi ya taifa lake? FIKIRI KWBNZA.
 
kwa kawaida msafara wake huwa na ambulance kwa ajili ya kuanguka anguka, bt akienda Igunga inabidi gari ya maiti iongezeke kwenya msafara kwani anaweza ondoka na presha!
 
Dr. Willibrord Slaa
Kauli ya Zitto kwa wana Igunga;Kumbukeni kuwa uchaguzi huu si wa kuamua nani anajua kutukana, nani kavuliwa hijabu ni uchaguzi uliolenga kumpata Mbunge wa Igunga atakayeshughulika na matatizo ya watu.Chadema hatuahidi maziwa na asali kwa wakazi wa Igunga, kazi zetu Watanzania mmeziona na mkatuongeza hadi kufikia 48 na sasa tunataka Igunga mtuongezee mtu wa 49 ili kutuongezea nguvu ya kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom