Lusajo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 456
- 30
Nimeangalia "Obama Revealed" tena kwenye CNN last weekend na kuona ni wapi Obama alikotoka na sasa hivi ndio hivyo anagombania Uraisi wa US kwa Ticket ya Democratic Party ambacho ni kitu cha kihistoria.
Nilikuwa naomba maoni ya wana jamii yaani waangalie katika Positive side ya ushindi wake yaani aliwezaje kushinda katika primaries na kumshinda hata Sen Hillary Clinton & (The Clinton Machine) katika uchaguzi ambao mama HRC alikuwa ndio favoured wa kushinda?
Obama alishinda wakati watu wengine walikuwa wanajua kwamba yeye ni Muislamu, na ni mweusi, na pia alikuwa anaonekana inexpirenced kati ya wagombea woote aliokuwa anashindana nao. (hapa nilitaka kuonyesha vipingamizi alivyokutana navyo)
Naomba wana Forum waende deep wakati wa kuchambua
n:b
1. Nimeiweka tofauti na "Obama vs. Mccain" thread kwa sababu hii sio kwa ajili ya ku-cover uchaguzi wa US sasa hivi, nilikuwa nataka nione hii itasaidiaje Wanasiasa wapya watakaogombea na Vijana wa Tanzania ambao wana mpango wa kuingia kwenye siasa Bongo.
2. Sio kwamba nafananisha mambo ya Bongo na ya US, najua ni vitu viwili tofauti ila nataka kuona itasaidia vipii, (Somo sio lazima linye kutokea kwenye mazingira uliyotokea, unaweza kusoma na kuliweka katika mazingira ya kwako/kwenu)
3. Najua kuna wengine wanampinga Obama, m.f Nyani McCain , lakini naomba ukija hapa (hii thread) nisingeomba critisism naomba utupe positive side ya ushindi wake.
ASANTENI.