Elections 2010 Ushindi wa Cobra Sata 74, ni uchuro kwa CCM 2015

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Ushindi wa Rais Sata (Cobra) wa Zambia, ni ishara mbaya sana kwa CCM mwaka 2015. Hii ni kwa sababu Rais Sata ana miaka 74 ambao ni mkubwa sana kulinganishwa na Dk Slaa, ambaye atakuwa na miaka 67, maana kuna wakereketwa humu JF walikuwa wakijipa moyo ati Dk Slaa atakuwa mzee kutokana na umri mkubwa wakati huo! Sasa kibao kimegeuka, sijui wataendelea na propaganda ya dini kama 2005 au watadaka propaganda ipi wakati huo.

Mungu atupe uhai, ampe na Dk Slaa uhai tuone CCM watakuja na propaganda gani 2015.
 
Back
Top Bottom