Ushindi wa chadema arumeru umetokana na ushamba wa helikopta

Mbona Arumeru mlileta majeshi yote na bado mkapigwa chini?
Watu wa Arusha ni werevu sana, njooni na pesa zenu tushibe tukalale kwa chadema.

Shahada za kupigia kura za vijana wote tunazinunua kwa laki na nusu. Vijana wenu njaa kali, hapo arusha tunashinda kiulainiiiiii. Subirini muone nyie magwanda
 
Shahada za kupigia kura za vijana wote tunazinunua kwa laki na nusu. Vijana wenu njaa kali, hapo arusha tunashinda kiulainiiiiii. Subirini muone nyie magwanda

sisi ndio vijana wa mji huu.....njoo tukuuzie kadi za kura......kama hatujakuuzia na sehemu zako zingine za mwili.....$%**i wewe......
 
Tena tunataka uchaguzi ufanywe hata kesho na magamba muwe na mapesa ya kumwaga (wazalendo tukose hata mia). Kwani Arumeru magamba hamkuwa na pesa? Yaliyowakuta Arumeru sasa yatawakuta 80% ya nchi nzima (ukitoa unyamwezini, ugogoni, uzaramoni na kwa Waluguru - Wangoni wameshituka).
hata uluguruni kwenyewe tumeshashtuka,tumejipanga vilivyo kuyavaaa magwanda na kuyakabili magamba
 
sisi ndio vijana wa mji huu.....njoo tukuuzie kadi za kura......kama hatujakuuzia na sehemu zako zingine za mwili.....$%**i wewe......

Preta una macho mazuri lakini akili mbovu. Unapewa nini na chadema hivi wewe???
 
Huyo ndo calculator.............bora mgeendelea kuwa guests tu. Wewe akili yako haipishani na ya Lusinde, Maji long na Wassira. Wakati wenzenu wanahangaika kuikomboa nchi nyie mnawafanyia hivi,

View attachment 50963

hiii ndo akili uliyonayo

wewe post zako zote ni za chit chat, mapenzi na kutafuta kazi kwenye JF. Chadema bwana, kama vifaranga kweli. Watu mnakaa mjini kumbe mnaishi kwa shemeji zenu na dada zenu, mnajaa kwenye mikutano ya kampeni kumbe hamna kazi za kufanya huko ndo mkamuone SUGU akiwapa mistari bure. Duh, kweli kazi ipo TZ yetu.
 
Jamani eheee sred kama hizi tuwe tunazi potezea tuuu, hakuna haja ya kuchangia pumba kama hizi
 
Kwa hiyo CDM walipeleka chopa, CCM wakapeleka nini? Overweight old men?????????
 
Jamani eheee sred kama hizi tuwe tunazi potezea tuuu, hakuna haja ya kuchangia pumba kama hizi

Na wewe si ulipiga picha na chopa ukaiweka kwenye Facebook?? Kwani hatujui?? Ukataka kupanda ukachukuliwa juu juu na RED BRIGADE ngaresero uwanjani? Acha unafiki bana..
 
huko Kiwira, Songea na Kirumba kulikuwa na helikopta? mbona magamba hamkushinda?
 
Nilikuwa nadhani unataka kusema kwenye karatasi za kupigia kura kulikuwa na picha ya chopa, kumbe unasema chopa ilivutia watu kufika kwenye mikutano wakasikia sera, wakaelewa. Kumbe una akili sana, ushaonaaaa eehe! Kwa kweli mtu aliyezoea siasa za kisanii za CCM akiisikia CDM hata dakika moja, hammpati tena
 
Si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye mawazo mgando kuweza kufikiri kuwa Wana Arumeru ni washamba kiasi cha kuishangaa Chopa.
 
Mawazo duni huzaa matendo duni.

Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.
 
Si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye mawazo mgando kuweza kufikiri kuwa Wana Arumeru ni washamba kiasi cha kuishangaa Chopa.

uwezo mdogo wa watu wake kifikra ndio unaiangamiza CCM....
 
Back
Top Bottom