calculator
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 279
- 137
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.