Ushindi wa chadema arumeru:Ni ushindi wa Nappe dhidi ya Lowasa?

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
inaeleweka muda mwingi Nappe amekua akimtuhumu lowassa kwamba ni fisadi na anatakiwa kujivua gamba na iko wazi kwamba nappe hakuumunga mkono sioi kwenye kura za maoni na ndio maana uchaguzi ukarudiwa mara mbili kwa kigezo kwamba hakuvuka % zinazotakiwa.!!
 
Ifikie wakati viongozi na watanzania na jamii kwa ujumla tukubali demokrasia ya kweli itendeke, naamini ukweli unabaki kuwa kweli, hii inajidhihirisha kwa yanayotokea kwa siasa za nchi hii!
 
Back
Top Bottom