UShindi wa CCM Igunga ndo tiketi Ya LOWASA 2015

Katika nchi hii kila kitu kinawezekana watu walifikiri
Rostam akiondoka ndo wananchi wanaichukian ccm
sasa hivi wananchi wanaipenda ccm igunga kama baba
na mtoto,
Huu mwaka ni wa neema kwa LOwasa kama CCM itashinda
igunga basi LOWASA NDO RAIS 2015

Kama kweli umetumia kichwa kufikiri basi nafikiri content zilizomo humo kichwani ujazo wake una matatizo. Lowassa na Igunga wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom