Ushindi kwa CCM Igunga njia nyeupe

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Tunawajua,nasafari hii tunakula nanyi sahani moja.Be prepared.

The upcoming Igunga mini election to fill a seat vacated by Mr Aziz is a barometer for the 2015 presidential elections.

If CCM retains the Igunga seat, similarly it will retain the presidency in 2015

Thats fallacy!

Mtoa mada toa vigezo pls manake vinginevyo ulichoandika will remain null and void!

CDM Igunga wamekuja kushiriki kama vile TLP na SAU, kila mkazi wa Igunga anajua CCM ni namba one, hata mkimtumia MsemaUWONGO mtaambualia vumbi!

Mafilili hata Igunga yenyewe unaisikia tu pia huijui unajifanya uko Igunga kumbe uko Manzese Dar.

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Karibu Gay

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Huna lolote unasumbuliwa na magamba kayavue ndio uje na hoja hapa

Toa sababu, Kwa mie niliyepita siku ya jana nikielekea Dar nilichokiona ni bendera za CCM na CDM Katika nguzo za umeme na kwa Taarifa yako kila nguzo iliyokua na bendera ya CCM basi na CDM ipo utofauti niliuona kwamba bendera za CDM zilikua hadi kwenye miti mirefu peke yake.

safari hii igunga lazima kieleweke
,ccm inabidi waandae askari wa jwtz
na sio polisi ili kuweza kuzima hasira
za watanzania wanoendelea kuwa
watumwa ktk nchi yao.
ccm inaleamatatizo ili ipate kitu cha kusemea
baada ya kuwasaidia wananchi,tanzaina
co watu wa kulia na janga la jaa karibu
kila mwaka

Tupe vielelezo vinavonyesha kua ccm watashinda usije tu na blabla za kkimagamba

Amka wewe usinziaye, ufufuke katika wafu (Magamba) na na CDM au CUF watakuangaza

kichwa kimeshakatwa bado kinasema 'nimeserve' wakati kiwiliwili hakipo, manyamaza tu punde
CCM IMESHAKUFA pamoja na makafara yote

JAMANI, MI SISHANGAI CCM KUSHINDA, KWANI SIKU ZOTE NI HILA TU ZINATENDEKA, ILA NINACHOJUA, KM ILIFIKA MAALI FISADI ..LOWASSA KUPIGWA CHINI,KTK UWAZIRI WAKE, ITAFIKIA NA KWA CCM TU!!!!!!!!!LOWASSA ALIPEWA UWAZIRI MKUU KWA HILA NDO MAANA YAMEFIKA HAPO,LEO WAMEMPA KUCHUNGUZA MEREMETA, WAPI NA WAPI??? WAMETUONA SISI NI MAZEZETA KIASI HICHO?????????? MWENYE GUVU MPISHE APITE, LAKINI, CHENYE MWANZO KINA MWISHO,,, HIYO NDIYO CCM. Nape atajitetea nini na hili?, au makinda? AU KIKWETE NA WAZIRI MKUU,JE NI KWELI HAWA NI WATANZANIA? CHENGE , MRAMBA, ROSTAM, NA LOWASSA -WANAELEWA WALICHOKIFANYA??,,INA MAANA WAMESAHAU WALICHOKIFANYA, JE KWA WANANCHI HAWA WATU WANA PICHA GANI????????? IMENISHANGAZA SANA KUONA LOWASSA KUPEWA KUCHUNGUZA MEREMETA!!!!!!!!!!!!!!KIKWETE NA PINDA , HEBU TAFAKARIN... MNA NIA NZURI SANA ,ILA..........KWA STAHILI HII HATUFIKI!!!!

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza
Masaburi yako. Toa vigezo vinavyokufanya ufikie conclusion yako

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Wewe hujui kuwa CCM wametumia rushwa kupindukia ikiongozwa na Mwiguru? hujui kuwa PCCB ilisha nunuliwa huko Igunga? hakuna ushindi wa haki huko Igunga bali ni wizi na rushwa tupu. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana harakati zote zinazo endelea huko Igunga nikiwa hapa Hong Kong. Utambue wazi kuwa mbinu chafu zimetumika na zitaendelea kutumika katika kipindi hiki cha kampeni. "CCM bila rushwa haiwezekani" mark my words.

Back
Top Bottom