Ushindi kwa CCM Igunga njia nyeupe

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

una tupa taharifa ama?nenda kamwambie na mkapa basi

The upcoming Igunga mini election to fill a seat vacated by Mr Aziz is a barometer for the 2015 presidential elections.
If CCM retains the Igunga seat, similarly it will retain the presidency in 2015

Unatumia vigezo gani? Na mazingira ya Igunga unajuaje ndiyo hayo hayo yatakuwepo 2015? Na unataka kutuambia wagombea hawa impact kwenye chaguzi?

Kama tayari ni "kama keshashinda",nguvu yote mliyopanga kuitumia ya nini basi?Helcopta,mzee mkapa,usalama wa taifa,na kuwapiga stop kina Nape na Chiligati kukanyaga igunga ili iweje?

....................Haya tumekusikia,japo nasikitika nimetumia muda wangu wa muhimu sana kusoma uharo huu...

CDM walie tu Jimbo la Igunga watalisikia kwenye bomba! CCM ni chama cha siasa siyo CDM kikundi cha pilika pilika kinachohaishwa na matukio. Mtaisoma namba na hapa ndo mtaijua vizuri network ya CCM. Simewapeleka vijana 800 kuleta fujo kama mlikiwa mnauhakika wa Ushindi na kama kweli mnapendwa mamluki 800 wa nini? Kazi mnayo mwaka huu

kumbe ni muhindi

GrillCorn3.jpg

The upcoming Igunga mini election to fill a seat vacated by Mr Aziz is a barometer for the 2015 presidential elections.
If CCM retains the Igunga seat, similarly it will retain the presidency in 2015

It could be but I think the real barometer will be the local government elections schedule to be held next year.

CCM wajaribu kutotumia mbinu chafu, just for this time. Wasiibe wala kutumia polisi waache wananchi wa Igunga wenyewe waamue.
Even with Mkapa and RA (he's accepted to campaign least he faces the lash of blackmail), Igunga ni jimbo la upinzani.

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Acha ujinga ndugu yangu wewe,labda Ccm ipate ushindi kutokana na hali duni ya wana Igunga,njaa na Madaraja yaliyokatika na kuvunja mawasiliano ya barabara.

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

HAPA HAKUNA KISOMO

The upcoming Igunga mini election to fill a seat vacated by Mr Aziz is a barometer for the 2015 presidential elections.
If CCM retains the Igunga seat, similarly it will retain the presidency in 2015
Very wrong analysis, based on a wrong sample, with doubtful hypothesis and methodologies!

Hata coca cola wanauza sana na bado hawachi kujitambulisha kwa wananchi
Coca cola wanajitambulishaga throughout the year sio one-off season kama nyinyi. kwa unachokisema, msubiri tu mtajitambulisha hata baadae. si unasema mmeshashinda???yaani jimbo ni lenu! sasa haraka za kujitambulisha kwa shida wakati wa campaign za nini????wewe nadhani ni mtangulizi wa synovate, umetangulizwa na kutumwa kupima reaction yetu, sio bure!!!

Kwa nini tunaweza kugharamia chaguzi za kujitakia kama hizi lakini kuboresha elimu ya msingi na sekondari tunashindwa? Kuna shule za msingi na sekondari hapo wilayani Igunga ziko hoi kwelikweli.

Kwa mtanzania yeyote aliyebahatika kufika Igunga kwa siku za hivi karibuni atakuwa amegundua ya kwamba mgombea wa CCM ni kama ameshashinda jimbo hilo hata kabla ya kampeni kuanza

Pole, najua unataka kupima upepo tu huna lolote la maana, lazima mtoswe tu hata mkihamishia BoT Igunga!!

Nimegundua mbinu chafu,hawa Magamba wamekodisha Toyota Cresta 4 zitaondoka tarehe 6th Sept eti wanakwenda Kushinda/wamesema Ccm kuwa Nchi haiwezi kuchukuliwa na Pick-ups'hii ni Libya na hapa kwetu kwenda Igunga na Magari kama saloon cars na Helcopter ni matusi kwa Wananchi.Igunga inahitaji Maji safi,Umeme,Barabara na Huduma za Afya na Elimu.Siyo kwenda kuonyesha ufahari wao.

CDM Igunga wamekuja kushiriki kama vile TLP na SAU, kila mkazi wa Igunga anajua CCM ni namba one, hata mkimtumia MsemaUWONGO mtaambualia vumbi!

Back
Top Bottom