Ushawahi kufanya mapenzi ukiwa umelewa? Tusimulie..

Sitaki hata kukumbuka hiyo siku, tulipiga valuer na mrembo bahati mbaya akatapika na kuzima kbs, sikufanya naye lolote.

Mkuu umenikumbusha kile kichekesho cha madogo waliambiwa wachore tembo yeye mmoja akaweka nukta, kuulizwa na ticha tembo yuko wapi, akasema tembo alikuwa hapa ila umekuta ameondoka.
 
Mkuu umenikumbusha kile kichekesho cha madogo waliambiwa wachore tembo yeye mmoja akaweka nukta, kuulizwa na ticha tembo yuko wapi, akasema tembo alikuwa hapa ila umekuta ameondoka.
Hahahaha.........hatari sana mkuu.
 
We ndio nilikumega ukiwa umelewa hadi ukatapikaa ulivyoona umezidiwa ukakimbia hadi na chupi yangu badala ya boxer yako chezea mimi wewe

Umetishaaaa....subiri PM yako ifurike sasa:D.

Ooh halafu umesahau....hadi nikakomba mahela yote kwenye ATM...
 
1480692326156.jpg
 
Tulikuwa na tafrija flani ya oficini ilifanyika hotel moja town,nilikaa na mdada mmoja mtamu tunafanya idara tofauti,yeye akipata red wine,mimi juice kwani situmii kilevi,tulikaa meza moja pembeni khaa gafra nikastuka mkono wake unapapasa suluali yangu kwa mbele,nikajua anahitaji tiba mujarabu,ikabidi tutoke mapema nikamtibu,toka siku hiyo nikawa najibonyezea kizenji..

Hahahaaaaaaaaa...Nimecheka sana hiyo kujibonyezea kizenji...!! Hongera..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom