Ushawahi kufanya mapenzi ukiwa umelewa? Tusimulie..

hapa zaidi 50% ya viewers watakua washawah...ila watapita kimya na wengne naona wameamua kutumia kizungu ili wazee wa shamba tusielewe.....mimi pia niliwah ila kwakuwa nilikuwa nimelewa san skimbuk ilikuaje
Piga ua asilimia kuwa wanaielewa inavyobamba
 
Aaah kwendaaa huko, unaleta mahubiri hapa ase, umetumwa usome uzi kwani, na wewe mwenyewe uzi umekunogea af unaleta unafiki.

Maoni: mods Tunaomba muanzishe jukwaa la dini ili tuepuke usumbufu wa watu wa dizaini hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom