Ushauri

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
inachukua muda gani kwa mume kufanya tendo la ndoa tang mke ajifungue? sitaki kuisaliti ndoa yangu.

nawasiliasha.
 
Kwangu mimi ikiwa mke wangu amejifunguwa ninampa siku 40 baada ya siku ya 40 nitafanya nae mapenzi kama kawa sijuwi kwa watu wengine. hebu tungoje watu wengine watujuze basi unasemaje kwa mawazo yangu mimi?
 
Thanx kwa advise mkuu.
 
Siku 42 baada ya kujifungua pueperium period inakuwa imeeisha. Baada ya hapo hapo hakuna shida yoyote.
 
Siku 40 inatosha kaka mkubwa ila kuna kitu kimoja kinaitwa kubemenda mtoto nacho inabidi mwenye elimu hiyo atujuze.Ila mimi ninaendelea na my wife baada ya siku 40 na sitengenezi fundi viatu.
 
Siku 40 inatosha kaka mkubwa ila kuna kitu kimoja kinaitwa kubemenda mtoto nacho inabidi mwenye elimu hiyo atujuze.Ila mimi ninaendelea na my wife baada ya siku 40 na sitengenezi fundi viatu.

Kubemenda inatokana na ku-ejaculate ndani ya vagina, ila kama natoa nje hamna ki2 hyo.
 
siku 40 zinatosha, lakini kuwa makini asije pata ujauzito.
 
Wengine wanasema siku 40 wengine miezi 3. Me nadhani iwe miezi 3, why?
Kuna wanawake wengine wanaongezwa njia wakati wa kujifungua, sasa cdhani ndani ya cku 40 atakuwa amepona vya kutosha, ukimpa miezi 3 atakuwa yupo fiti na hataweza kuckia maumivu, wengine wanajifungua kwa operation, tena hawa ndo balaa, ikibidi wapewe hata miezi 6, mana kidonda kinachelewa kupona kwa ndani, ila nje kinawahi, so me naona miezi 3 ndo sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom