Ushauri: Wiki imeisha hataki kuongea na mimi

Kaa kimya,usimtafute.Asipokutafuta ndani ya wiki tatu,msahau,huyo ana kusudi la kufanya hilo na si bahati mbaya,tafyta wako kwingine.
 
jiongeze ukiona hivyo kashapata sponsor anaona unamkera tu bora akublock, hivi mtaacha lini kulia lia ukiona mtu hakupendi achana nae akikuua je wanawake wote waliojaa na ww mblock kote mpk kwenye simu kaa kimya tafuta mwanamke mwingine akukeep busy
Ushauri makini......watu wanalia lia tu............jiongozee..................mapenzi mapenzi........huyu ndo mara ya kwanza kujihisisha
 
Tafuta mwingine kwa kuwa juhudi ushazifanya za kutafuta sababu. Na inaonekana keshaachana nawe, kilichobaki ni suala la kujiongeza
 
Long distance relationship huwa zina shida sana, wanafanikiwa wachache sana ku maintain hii hali, chakufanya achana naye angalia maisha yako ya mbele
 
Iko hv mkuu ngoja tushirikishane uzoefu wa hawa viumbe;

Juzi kati hapa tulitofautiana kidogo tukayajenga yakaisha ikafuatiwa na kunyutiana kama wiki 2 hivi.
Sasa haka kabinti kakaaa kakaona eti kaandike msg kamenipiga chini nikamwambia sawa kila la kheri mama sasa kumbe alikua anatingisha kiberiti bhana kimewaka haishi kuomba re-union

Wanawake wako wengi usiumize kichwa kwa mtu ambaye hayuko serious na relationship wakati wewe ndo umewekeza kila kitu kwake.
Piga chini fasta huyoo
 
Na wewe usiongee naye.

Fanya hivyo wala usiumize kichwa chako bure
 
Iko hv mkuu ngoja tushirikishane uzoefu wa hawa viumbe;

Juzi kati hapa tulitofautiana kidogo tukayajenga yakaisha ikafuatiwa na kunyutiana kama wiki 2 hivi.
Sasa haka kabinti kakaaa kakaona eti kaandike msg kamenipiga chini nikamwambia sawa kila la kheri mama sasa kumbe alikua anatingisha kiberiti bhana kimewaka haishi kuomba re-union

Wanawake wako wengi usiumize kichwa kwa mtu ambaye hayuko serious na relationship wakati wewe ndo umewekeza kila kitu kwake.
Piga chini fasta huyoo
Asante
 
Back
Top Bottom