Ushauri wenu unahitajika wana jf

Kipis

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
492
61
Nina sister wangu yeye ni mjamzito, uja uzito wake una tkribani miezi kama sita hivi.<br />
<br />
katika kipindi hiki alichokuwanacho, kuna baadhi ya matatizo huwa yanamtokea kama vile kufa ganzi kuanzia maeneo ya kiuno hadi Miguuni. Pia kuna wakati anaishiwa nguvu kabisa. Anaomba msaada wenu kimawazo inaweza ikawa ni ishara gani hizo au ni kawaida tu. Hiyo ni mimba yake ya kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom