Ushauri wangu kwa vijana wenzangu.

TUMY

JF-Expert Member
Apr 22, 2009
705
93
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.
 
That is very true !!! kazi na sala...Mungu wangu nimwombae ananipigania siku zote za maisha yangu kamwe hatoniacha nianguke.....sitaki makuu....nikipata namshukuru Mungu, nikikosa namshukuru Mungu pia, namuomba azidi kunifungulia milango na fahamu za kuona opportunity za mafanikio...!! Amen.
 
Ahsante kwa ushauri,nipo club ngoja nirudi zangu home baadae niwahi church..
 
Jast Bleiz.. UMENIFURAHISHA SANA MKUU,Starehe hazikatazwi mkuu ila ziwe na kiasi ila maadamu umeamua kurudi sasa nyumbani ili kesho uwahi church hilo ni jambo la busara sana, Mungu naye umpe nafasi yake. Kila la kheri na Mungu akubariki.
 
That is very true !!! kazi na sala...Mungu wangu nimwombae ananipigania siku zote za maisha yangu kamwe hatoniacha nianguke.....sitaki makuu....nikipata namshukuru Mungu, nikikosa namshukuru Mungu pia, namuomba azidi kunifungulia milango na fahamu za kuona opportunity za mafanikio...!! Amen.
.

Maneno yako yamenikosha sana mkuu, Ubarikiwe sana.
 
Jast Bleiz.. UMENIFURAHISHA SANA MKUU,Starehe hazikatazwi mkuu ila ziwe na kiasi ila maadamu umeamua kurudi sasa nyumbani ili kesho uwahi church hilo ni jambo la busara sana, Mungu naye umpe nafasi yake. Kila la kheri na Mungu akubariki.
Ubarikiwe pia mkubwa...
 
Huu ni ukweli mtupu! Hasa kwa wadada... unakuta mtu hana kazi, mwanafunzi ila anataka black berry sababu kasikia ndio mtindo mpya. Anataka aonekane kampani ya kina fulani, anataka kila wikiendi atoke aonekane club fulani.
Ya nini kutamani yote hayo kama huna uwezo? Unaweka integrity yako mashakani.
 
Na hata wachumba jamani mtafute wa level zenu na mtafute kwa nia ya mapenzi na sio mali. Tabia ya kuombaomba kwa vijana na mabinti pia sio nzuri. Mungu atawajaalia kwa wakati wake kupata mtakacho, fanyeni bidii kwenye masomo na kazi na mtajikwamua tu, inshaallah!
 
Huu si ndio ule wimbo wa ushauri wangu- less wanyika waimbaji akina Tom malanga
 
Thnx mtoa mada bt unfortunately cjaenda church koz nipo safarin frm arusha to cngida nau! Bwana wa majeshi akutangulie!
 
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.

Mhmh tunaomba uwe muwazi wewe yamekukuta nini? tell us plz!
 
Tamaa mbaya tunajua na mimi sina tamaa kabisa ya vitu vingine ispokuwa hawa wanawake, ndugu kuna wanawake wengine wazuri aisay lazima uinue handbrake juu, huwezi kuwapita mpaa uwavue chupi ndo unaona raha :biggrin:
 
Na hata wachumba jamani mtafute wa level zenu na mtafute kwa nia ya mapenzi na sio mali.

ushauri mzuri sana but itakuwa ngumu sana kuzingatiwa na vijana wa leo ambao wamekaa kimshiko na starehe zaidi
 
mbona yanafanana na mahubiri ya kanisan leo?

Mkuu naona ww wafaa kuwa mchungaji wa kondoo wa bwana, bila shaka haya hata ww unayazingatia,
nitasikitika sana kama na ww unaenda kinyume na hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom