Ushauri Wangu kwa Serikali

Dopodopo Kadopo

Senior Member
Jul 23, 2012
120
19
katika kipindi hiki ambacho tuna mgogoro na nchi ya malawi ningeishauri serikali ifunge mitandoo yote ya kijamii ilikuondoa uwezekano wa maadui zetu kuitumia kama silaha ya kutumaliza. pia kuna viongozi ambao inatakiwa wadhibitiwe wasiongee kwani kutokana na matendo yao ya kifisadi, kuruhusiwa kuongea kutawakatisha tamaa wanachi pengine hata wapiganaji wetu ambao ikilazimika itabidi waende mstari wa mbele wa mapambano zidi ya malawi.
 
Back
Top Bottom