Ushauri wangu kwa Serikali Ikiwa Lema anapenda kuzindua Miradi

Magoiga SN

Member
Oct 15, 2016
15
61
"Ikiwa Lema anapenda sana kukata utepe, na kuzindua miradi hata ambayo haihitaji sifa na umaarufu wa kisiasa. Nimuombe Mh Magufuli mwaka kesho amteue Lema awe Mwenyekiti wa MBIO ZA MWENGE ili azunguke nchi zima akikata utepe mpaka mikasi yote iwe butu"

,,, Huwa Sitakagi Ujinga wa Kujitakia,,,,,

Magoiga SN
 
raw
 
Hivi ni kweli hutakagi ujinga wa kujitakia....???Mbio za mwenge next year...mmmhhh..wewe huoni dalili za Mh.Rais kuzisimamisha....????
 
"Ikiwa Lema anapenda sana kukata utepe, na kuzindua miradi hata ambayo haihitaji sifa na umaarufu wa kisiasa. Nimuombe Mh Magufuli mwaka kesho amteue Lema awe Mwenyekiti wa MBIO ZA MWENGE ili azunguke nchi zima akikata utepe mpaka mikasi yote iwe butu"

,,, Huwa Sitakagi Ujinga wa Kujitakia,,,,,

Magoiga SN
Nimecheka kwa sauti
 
Back
Top Bottom