Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli leo nilitazama bunge la asubuhi, aisee ni kweli huyu jamaa anakurupuka sana kuuliza maswali yasiyo na tija ama kuomba miongozo kwa ajili ya ufafanuzi ambapo kwa sehemu kubwa kama angetulia ama kujipanga vizuri angekuwa amashapata jibu ama kuelewa kilichofanyika, lakini cha ajabu na ulimbukeni mkubwa wa kutoka media coverage anaingia kichwa kichwa na kuuliza vitu ambavyo ufafanuzi ukitolewa anakuwa amepwaya sana, kiasi kwamba huwezi kuamini kama Mh. Tundu Anthipas Lissu ni mweledi aliyebobea kwenye Sheria.
Lazima abadilike asilazimishe umaarufu
Aisee kumbe umemuona. Kila kitu anakizungumza kwa kutaka kuonekana kama ni mtaalamu sana na anauchungu sana na maisha ya watu. Ukimwangalia usoni na ukilinganisha na anacho kisema ni vitu viwili tofauti. Ananikumbusha debate club nilipokuwa shule. Wakati huo umaarufu wa kupanga maneno ya kingereza ulileta umaarufu sana. Kuna mwingine alikuwa hivyo. Bahati mbaya ubunge uliyeyuka
magamba point of view!
Whatever you can call it but the facts will remain stand still sometimes we "citizens" magamba, magwanda and magome we don't want "drama kings" or "show off" characters. What we need is commitment to us on implementing "sera" so that we can all have national cake.
wewe na huyo waziri msitake kuniambia uranium haina madhara bana!...na pia sifikiri kama issue ya waziri mkuu kwenda Vunjo ilikuwa ina umuhimu mkubwa kwenye nafasi finyu ya nusu saa kumchapa waziri mkuu maswali...