Ushauri wana jamii

Makaimati

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
462
87
Nimejaribu kuangalia humu ndani na nimeona kwamba kuna wanajamii wengi huelezea matatizo yao mbali mbali ya kiafya.

Mara nyingi hjitokeza wachangiaji wakatoa majibu ya kukurupuka wakijua hawana utaalamu katika masuala ya tiba/afya au/na kufanya mzaha.

Nawaomba wale wanajamii wakatafuta tiba kwa wataalamu wanaohusika kujiepusha na matatizo baadae.

Naomba radhi kwa hili.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom