Ushauri wako

Persie

Senior Member
May 2, 2012
188
15
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
 
Sina majibu kama ya mtoto wa mkulima to be honest kwa hizo point huwezi, subiri diploma tu mwezi wa 7. Huku hakunaga kukonsida vya O-level.
 
Mkuu hapo z very ishu.Math ndo imeleta shda.Bt we fanya application kote kote,akina TECU,na wenzake wanaweza kukuchukua,ikishndkana nenda Dp.
 
Mkuu hapo z very ishu.Math ndo imeleta shda.Bt we fanya application kote kote,akina TECU,na wenzake wanaweza kukuchukua,ikishndkana nenda Dp.

nimeckia st. Joseph naweza nikapata lkn nipitie kwanza bridge course cjui itakua inachukua mda gan kumaliza hiyo course
 
Na me msaada jamani III-15
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.s-S

jaribu kuangaza na vyuo vya nje Tanzania kuna mbanano kishenzi na watu roho za korosho hata kama sifa unazo kwa mujibu wa TCU form six una qualify kuendelea na chuo ukipata "E" mbili na "S" kwa maana ya prenciple mbili na surbusiry moja kwa maana ya point 2.5 lkn ndo useme kila chuo chini ya by law kina kuwa na qualification zake kulingna na mahitaji na aina ya ya wanafunzi wanao wataka lkn kwa nje ya nchi nikimanisha Maly,Algeria na kwingne 2.5 ume qualify tiyari
 
Vp kwa points zangu hapo juu ardhi ciingii econm-E geog-E math-F lkn kwa kujilipia mwenyewe
 
Back
Top Bottom