Ushauri wako unahitajika!!!!!

Una Malengo gani? Hilo ndio swali unatakiwa ujibu. Kama huna jibu wacha binti wa watu....Katafute wakukufaa, wapo wengi tu. Hata KB wapo. Sawa? Wacha maajabu na utoto. Kakae Darasani Usome!!!!
 
muahidi utabadili, mpe mimba alafu mwambie kama afuati dini yako unamuacha akifata unamuoa.
 
Hii misimamo hii...

Kuna mdada nikiwa mdogo alikuwa gumzo la mitaani... Yeye alikuwa mlokole...miaka hiyo ya 80s walokole walikuwa wachace sana sehemu tunapoishi na tulikuwa tunawahita kanisa la "kulia" kwa kuwa walikuwa wakisali wanalia.

Huyu dada alikuwa amefikia umri wa kuolewa, lakini cha kushangaza ni kuwa kila mwanaume alokuwa anamtokea yeye alikuwa anakemea...yani atakusalia barabarani mpaka utoke dima kwa aibu.

Miaka ikakatika akaanza kuzeeka...tukasikia ameacha ulokole...nadhani aligundua wanaume wameanza kumuogopa maana mimi nilikuwa mtoto lakini nilikuwa najua stori zake za ubingwa wa kukemea wanaume "mapepo. Lol"

Mpaka nimekuwa, nikaenda boarding school alikuwa hajaolewa...

Hivyo wadada wawe makini na dini...extremism hai work kwenye kutafuta life partner. Kuna watakaokuja kwa gia ya ndoa na kubadili dini lakini mwisho wa siku wakipata wanachotaka wana ku dump
 
Hayo ni majibu uliyostahili hasa baada ya kutumia sms. Kwani kabla ya kuwa mke wako si inabidi awe girlfriend/mchumba (or whatever - hapa sijazungumzia ku-do kabla ya ndoa)
Ungemfuata face by face asingekujibu hivyo!
 
Isije ikawanai binti yangu tu.............. Nikikujua patachimbika.......................................!

sasa kama ni bint yako uta MUOWA mwenyewee wanaume wenyewe ndio hao haoau unataka aolewe na DAIMOND???
 
LEGE and Father of All siwalaumu kwa sababu jf hatujuani fresh but life goes on mngeweza kaa tu na stress zenu bila kuweka hapa.
 
Last edited by a moderator:
unataka kupiga usepe ?...mweke awe Rafiki kwanza...sio unamtumia text ..mnakosa vitu vinono ivoivo kwa Uzoba wenu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Estyzo uwe na adabu. Usilaumu watu kwa upumbavu wako. Tuna stress gani zaidi ya wewe unayehangaika na mambo ya kitoto? Heri ungeomba ushauri hata wa kitaaluma hata kazi ungeeleweka. Ulichobaini ni kwamba wewe ni mshamba wa kawaida anayedandia mambo bila kujua anachotaka. Umeshaambiwa unalopaswa kuambiwa hata kama hulipendi. Nini maana yako ya kuomba ushauri JF? Ulitaka ushauri au kupewa unachotaka kusikia au kuungwa mkono hata kama uamuzi au jitihada zako ni vya kijinga siyo? Usidhani JF wote ni watoto wadogo kama wewe au wanafunzi kama wewe. Kuna maprofesa na wazazi humu kijana.
 
Father of All uko sawa lakini akili yako ni ileile hata nigeomba ushauri wa elimu au kazi ungeweza kuniudhi tu post yangu ya mapenzi isiwe loop hole ya wewe kuongea hivyo jukwaa la ajira lipo unaweza kwenda saidia ushauri wengine.
engineers tuna solve matatizo but siyo mental problems.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom