Ushauri wako unahitajika!!!!!

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
kuna mdada nampenda sana tupo naye chuo kimoja japo college tofauti juzi nilimtumia meseji ya kutakata awe gf wangu leo amenijibu kama ifuatavyo.
"samahani kwa kuchelewa kukujibu nahitaji mume kwa sasa na si bf na awe wa imani sawa na mimi " yeye ni msabato ninashindwa niendeleaje dini zetu ni tofauti what should i do great thnikers.
namuhitjai sana tu.
 
Utoto mwingine ni mbaya hasa unapofanywa na mtu anayejidhani ni mtu mzima. Nani atakushauri kuhusiana na ujinga wako ambao umekufunga kiasi cha kushindwa kuona jibu ambalo huyo binti kakupa wazi wazi?
 
dada anataka mume wewe unataka gf, tafuta anaetaka bf ili muwe sawa.
 
ama kweli wewe kilaza ndio mana hata huyo mdada kakujibu hivyo?? Sasa wewe yunaomba ushauri wa nini wakati mdada wa watu kafunguka na kukuweka wazi mwanzo mwisho?? Wewe unakuja kubwabwaja huku?? Au unataka kubadili njano kuwa kijani??? Punda huwezi kumlazimisha kunywa maji??
 
kuna mdada nampenda sana tupo naye chuo kimoja japo college tofauti juzi nilimtumia meseji ya kutakata awe gf wangu leo amenijibu kama ifuatavyo.
"samahani kwa kuchelewa kukujibu nahitaji mume kwa sasa na si bf na awe wa imani sawa na mimi " yeye ni msabato ninashindwa niendeleaje dini zetu ni tofauti what should i do great thnikers.
namuhitjai sana tu.

Usome kwanza, achana na mambo ya mapenzi. Hao hawaishi, wazuri ndio kwanza wanazaliwa na wanakua! Acha ufuska mwanafunzi,
 
Isije ikawanai binti yangu tu.............. Nikikujua patachimbika.......................................!

Braza Mtambuzi mbona mkali hivo?..
Hata hivo binti yetu keshamwambia yeye ni msabato na anahitaji a committed guy..
Huoni kama kajisimamia vizuri tu..
BTW tungeajuaje kama binti yetu naye anatingisha..(i am just kidding)...hahahahah
 
Last edited by a moderator:
kuna mdada nampenda sana tupo naye chuo kimoja japo college tofauti juzi nilimtumia meseji ya kutakata awe gf wangu leo amenijibu kama ifuatavyo.
"samahani kwa kuchelewa kukujibu nahitaji mume kwa sasa na si bf na awe wa imani sawa na mimi " yeye ni msabato ninashindwa niendeleaje dini zetu ni tofauti what should i do great thnikers.
namuhitjai sana tu.

Naona kama ujumbe uko clear kabisa, mwenzio anataka mume na si bf na sifa za mume keshakwambia lazima awe msabato mwenzake.

Kwa uchambuzi wa haraka haraka naona kama hakufai kwa sababu zifuatazo:
1. Wewe unataka gf na yeye anataka mume!
2. Yeye ni msabato na wewe mwenzangu sijui ni mpagani kama mimi!
3. wewe umesema wazi unampenda sana na yeye hajajibu kama anakupenda, so inaonekana yeye anapenda kuolewa tu hata kama na kinyago ili mradi huyo ana meet vigezo alivyoweka!

Ila kama unania kweli ya ndoa unaweza kujaribu tena na tena maana saa nyingine hawa ndg zetu huwa ni ngumu kukukubalia kwa mara ya kwanza maana huwa nataka sitaki!
 
Mkuu hapo chagua kunyoa au kusuka.
Chezea msabato wewe..anataka ndoa tu ataki kuchakachuliwa na kuachwa huyo.
 
ww ndio kwanza umetuma ujumbe tu,
kama kweli unampenda, chacharika kaka, si ajab mdada anataka kuona uko siriaz kias gan, sasa umepigwa chin mara ya kwanza....tena si umepigwa chini, mwenzio kakueleza anachotaka so kilichobaki ni ww kuchuja, unayaweza au la
hata hvyo hyo inaweza kuwa ni katika kukupima tu
ushaur...
fanya uonane nae, muongee uso kwa uso, hapo utaweza kumson hisia zake na kujua kama anamaanisha au la na ufanye nn
Jipange banaaaa, sometimes kuwa mbishi siyo ukikataliwa mara moja tu unaachia ngaz, kumbuka akina stak nataka wapo.....
 
Yawezekana amekuweka kwenye mzani, piga moyo konde then tupa tena kete. be a man, kuwa na roho ya paka then ukiona anachomoa tena m-delete then kama na yeye atakuwa interested atakuja kukutafuta mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom