ushauri wa ununuzi wa hisa

naphy2005

Member
Nov 17, 2009
5
0
habari ndugu zangu....
naomba ushauri jinsi ya kununua share and which company is suitable.naomba mnisaidie juu ya ununuzi wa hisa za campuni za hapa nchini.
thanks,
 
je unataka kununua kwa muda gani? yaani unataka
kama investment ya muda mrefu au muda mfupi?
 
habari ndugu zangu....
naomba ushauri jinsi ya kununua share and which company is suitable.naomba mnisaidie juu ya ununuzi wa hisa za campuni za hapa nchini.
thanks,

Think of NMB or CRDB!! both companies zinafanya vizuri kwenye financial industry. Mathalani, kwa sasa bei ya hisa za NMB ndo zinaanza kupanda juu baada kuwa kuwa inashuka kila wakati!! I think investors ambao walinunua IPO kwa ajili ya ku-resale wameshaisha na waliobaki ni kuacha hisa zao waiting for dividends!! za nmb kwa sasa nazani hazijafika sh. 750, but am sure kabla ya march 2010, zitakuwa zimefika sh. 1000. za CRDB hivyohivyo, bado hazija-shoot!! hata hivyo, kama leongo lako ni ku-invest ili uwe unapata gawio, nazani za CRDB sio nzuri sana kwavile thamani ya kila hisa ni ndogo mno....shareholders ni wengi thus chochote kipatakinacho kitagawiwa kwa wengi!!!
 
nilizipitia financial statements za twiga na tanga cement kabla
la balaa la umeme. zote zilinionyesha kwamba haya makampuni
yalikuwa yanafaa kununua share zao. aidha ukizingatia na kasi
ya shughuli za ujenzi zinavyoendelea naamini kampuni hizi mbili
zinafaa kuzifikiria vyema kama unataka kununua shares.

tatizo la umeme linaweza likaathiri financial statements
za makampuni haya hapo mwakani.

hata hivyo ni vyema pamoja na yoote yatakayozungumzwa
kuhusu ununuzi wa shares uamuzi ni wako kwani ni wewe
pekee unaelewa vizuri uwezo wako wa kuchukua risks na
eneo gani unalielewa vyema.
 
asanten sana kwa ushauri wenu juu ya unnuzi wa hisa,
wadau,mi nina swali,hivi ulishawahi kujiuliza kwanini majority of tanzanians ni maskini?kwa mtazamo wangu nilijijibu hivi,most of the tanzanians depends on employees rather that self-employment and investment ,and this is due to many reasons of which one of it is hardship on finding SEED MONEY...initial capital in tanzania is hard to find since the banks are not interested in funding enterprenure who are just starting with no clear strategy of returning the money and with no track of financial records....thats where the tanzanians meet their mbio za sakafuni(no seed money),no where to start.
nawaomba ndugu zangu wenye utaalam wa masuala ya finance and investment wanisaidie pamoja na watanzania wengine wenye mtazamo tofauti kama mimi wa kujikwamua na umaskini kwa njia ya self employment kutoa elimu kwa jinsi gani a biginer can raise money to finance their busness caz kwa nchi za wenzetu zilizoendelea kuna makampuni ya VENTURE FINANCE ambayo yanadeal na wawekezaji wachanga,je hapa kwetu mambo yanakuwaje kwa wawekezaji wachanga wenye brilliant ideas but dont know where to start exploiting their potentials?
WATANZANIA CHANGE SHOULD COME FROM WITHIN NOT FROM WITHOUT,LETS CHANGE OUR DEPENDENT SYSTEM BY REPLACING IT WITH INDEPENT THOUGTHS.......
 
Back
Top Bottom