Ushauri wa mawazo..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,392
Nategemea kuoa hivi karibuni lakini sharti la kwanza nimeambiwa nikapime ukimwi,ukweli naogopa sana na kila wakati nikifikilia hilo jambo la upimaji,mpenzi wangu amegoma kushirikiana na mimi mpaka nikapime,kwa sababu nilikuwa nje kwa masomo,ukweli nimefanya mapenzi kwa mara ya mwisho kama miezi 9 iliyopita na kote huko nilikuwa nacheza game na condom,ishu kuna wengine nilikuwa nawapa wananyonya mpaka na nawamwagia mbegu zangu wanakunya,na wengine nilikuwa nawageza..ila bado mbele na nyuma kote nilikuwa natumia condom.Ila bado naogopa nifanyeje,naombeni ushauri..
 
Hakuna cha kufanya zaidi ya kwenda kupokea ushauri nasaha na kupima....kujua afya ni kitu kizuri kuliko kuishi na hofu au kumwambukiza mwenzio bila kupenda kama umeambukizwa....ukijua utajipanga kama unao,kama hauna utajitunza zaidi....all the best!
 
nahitaji ushauri nasahaa kwanza wa kutosha hapa hapa JF.kabla sijapeleka miguu yangu Hosp.
 
Ushauri alioutoa huyo mchumbaako ni wa muhimu sana na hakuna pa kuukwepea.
Mtakapooana kwa vyovyote mtahitaji watoto and so kupima ni lazima.

Kwa hiyo kubali maombi ya mchumbao, kapimeni mjue afya zenu, ndivyo mnaweza kupanga maisha yenu ya baadae

Ondoa hofu, beba ujasiri, kapate ushauri nasaha, kapime, jua sero status yako, jua umeambukizwa au la, panga maisha baada ya kupata majibu.
This is the only solution and advice i can give, and is the best solution.
 
shida si kupima,shida nikupata ujasiri wa kupima..
 
We teyari umeshaambukizwa virusi ulikuwa unaona utamu kupiga two in one pole sana manake utakapo anza kuharisha maji rangi ya mchele ndio utajua cha mtema kuni 2takuvalisha nepi
 
Yaani humu Jf kuna majibu ya ovyo sana..sasa hapa si great thinker tena.watu wanatapika tu jinsi mnavyojisikia.kumbukuka ushauri unautoa unasidia na wengine wanaopitia katika hari kama hiyo..
 
Kuwa mjasiri we nenda kapime wala usiogope kuwa unaweza kukutwa na virus vya ukimwi manake hata kama huna ukimwi hakuna maisha ya kudumu hapa duniani kila mtu ataonja mauti na ukijua afya yako ni bora zaidi na utaishi maisha marefu kuliko yule ambaye hajapima na kujua afya yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom