Ushauri wa mapenzi

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Ndugu wanajf, kuna jambo ambalo linaniumiza sana kichwa! Hivi kuna umuhmu wowote kuhakikisha unafanya sex na mpenzi wako kabla ya ndoa? Nimefuatilia mijadala mingi ya vijana wa kiume wakisema kuwa ukifanya sex na binti unayempenda at least unajiwekea uhakika wa kuwa naye. Jf members naomba mtizamo wenu juu ya hili.
 
Kama wewe hutaki wala hujisikii kufanya hivyo kabla ya ndoa usifanye kwa ushawishi wa watu wengine!!Hamna ulazima wowote ni makubaliano na matakwa yenu tu!!!
 
Kabla ya yote jiulize ndoa nini?Je ni kwenda kwenye nyumba za ibada na kuvalishana vyuma/madini vidoleni kisha tunaita ndoa?Au ni makubaliano ya kweli yanayofanyika ndani ya mioyo ya wawili wanaotaka kuishi pamoja?Kwenye maandiko ya biblia(kama wewe ni mkristo)hakuna mahali watu walienda kwenye sinagogi au hekalu kufunga ndoa bali walikubaliana wale wanaooana kisha wanakwenda kwa wazazi wanatoa mahari kwisha kazi!!
 
Dini yako inasema nini juu ya hilo? Au wewe unaabudu miti mibuyu? Usitusumbue na maswali ya ITV ya kipima joto!
 
kwa ufupi haitakiwi kufanya kabla ya ndoa, we hujiulizi kwa nini unaliita tendo la ndoa? sasa kama ni tendo la ndoa inabidi lifanyike kukiwa tayari kuna ndoa, otherwise ni uzinifu.
Halafu siku hizi watoto wamejaa humu eeh, hivi form five wameshaanza masomo?
 
ni tendo siyo ndoa! Inakuwaje unaoa na hujasex na mupenzi wako halafu siku unakutana naye siyo Bikira. Porojo za kipima joto na ukweli wa uhalisia weka kando. Dini yako inasemaje kuhusu nini! Kwani kipi kinatangulia? Mi sioni shaka kwa anyeamua kusex na awe kama yule anayeamua kutosex kuliko kujidanganya eti mi mpenzi wangu sijamgusa wakati kila siku unamtamani lakini unaogopa kumwambia kilichobaki ni tu umbake.
mwambie fanya sex naye it is for leaisure and it means nothing to your marriage plann ndo maana bado utaifurahia siku ya ndoa yako hata kama ulisex na mupenzi wako usiku mmoja kabla. haya mambo yana psychology ndefu, kila mtu afanye kwa mujibu wa psychology yake; miye yangu nafanya sex hata kabla sijamuoa na nikmuoa naendelea kama zamani so enjoyful. assume una mpenzi wako halafu hujafanya siku umemwoa unaanza umwonea aibu nini unataka mara ooooh kama kwenye TV mwisho unabobea kuangalaia movie za ngono kwa kuwa mpenzi wako huwezi kumwambia unachotaka, huwezi mwambia kama "tamu" au la na huwezi kumwambia asante sweet au vip, na huo ndio huwa mwanzo wa kuvamia Changu doas na Wifes kuvamia house boys kwa maana watu hudhani huko kuna uhuru wa kusema "tamu, sweet, thank you

kwa ufupi haitakiwi kufanya kabla ya ndoa, we hujiulizi kwa nini unaliita tendo la ndoa? sasa kama ni tendo la ndoa inabidi lifanyike kukiwa tayari kuna ndoa, otherwise ni uzinifu.
Halafu siku hizi watoto wamejaa humu eeh, hivi form five wameshaanza masomo?
 
Ndugu wanajf, kuna jambo ambalo linaniumiza sana kichwa! Hivi kuna umuhmu wowote kuhakikisha unafanya sex na mpenzi wako kabla ya ndoa? Nimefuatilia mijadala mingi ya vijana wa kiume wakisema kuwa ukifanya sex na binti unayempenda at least unajiwekea uhakika wa kuwa naye. Jf members naomba mtizamo wenu juu ya hili.

Kagarara;
Siyo tu kuwa na uhakika lakini hata kujua ni nini katika subject matter mupenzi wangu ana ujuzi na anapenda zaidi kuliko ambavyo sipendi.

Vijana wako sahihi isipokuwa mafundisho yasiyolenga uhalisia huku yakijikita kwenye ukweli yanapoteza kizazi matokeo yake vijana wengi wengi wanajikuta wanafanya sex na watu ambao si wapenzi wao kbala ya ndoa kwa kigenzo cha kulinda heshima ya mupenzi.

Uhalisi na ukweli nii vitu tofauti, hivyo ukweli lazima uchanganywe na uhalisia ili kupata kitu kamili; na kama ni hivyo, hebu anagalia mfano wa swali; ni vijana wangapi mabinti wawe wakristo, waislam, au wasio na dini wanaolewa na bikira zao?

Au kama wewe umeoa je mkeo ulimkuta na bikira? na kama umeolewa je uliolewa na bokira, kama ni binti hujaolewa je bado una bikira? ni vigumu kupima bikra za vijana wa kiume ingawa binti asiye na bikira mwenye uzoefu na wanaume ana uwezo wa kusema huyu kijana ni bikira au la.

Kama umeoa mke asiye bikira, umeolewa si bikira, yet hukufanya sex na mpenzi wako kabla hamjaoana; then am sorry that ndoa yenu iko katika danger zone kwani kila ukilala na mkeo/mumeo anakumbuka mpenzi aliyelala naye usiku mmoja kabla ya siku ya ndoa

Tafakari, changany na akili zako, weka hoja za maana ingawa hii ina changamoto kubwa.
 
Back
Top Bottom