Ushauri wa kuanzisha biashara ya kilimo

Vitunguu machungu yake ni mtaji si chini ya milioni 2 kwa ekari moja na ukitoa zigo kubwa la ekari zaidi ya 100 ukataka usubiri bei iwe nzuri hifadhi yake ni kasheshe, lazima ujenge chanja zake na kwa eneo lako eka 200 ni parefu hapo, hivyo jitazame urefu wa mtaji wako otherwise kitunguu kinalipa na Kilosa ni kwake.
 
Umeshavuna? Tupe uzoefu

Ibra 6 thanks kwa wazo zuri. Mkuu Mrdash1, ni almost mwaka mmoja na nusu sasa toka uje na huu uzi. Vp unaweza kutuupdate kauzoefu ili wengine tujifunze kama Ibra alivyoomba? Kiukweli kabisa hutaamini namna ambavyo uzoefu wako utakavyokuwa na manufaa kwa watu wengine kabisa, wengi wao huwafahamu kabisa.
 
Vitunguu machungu yake ni mtaji si chini ya milioni 2 kwa ekari moja na ukitoa zigo kubwa la ekari zaidi ya 100 ukataka usubiri bei iwe nzuri hifadhi yake ni kasheshe, lazima ujenge chanja zake na kwa eneo lako eka 200 ni parefu hapo, hivyo jitazame urefu wa mtaji wako otherwise kitunguu kinalipa na Kilosa ni kwake.

Looks like wakulima watarajiwa tunaweza kujifunza mengi sana kutoka kwako Mr. Kubota. Tutaomba uwe unafunguka kadri uwezavyo unapost mkuu. Thanks indvance!
 
Mkuu Bobby asante kwa comments zako. Dunia imejaza mengi mazuri yakimsubiri yeyote yule ayatafutae! FINDING is reserved to those who SEARCH !! Abishaye hodi ndiye hufunguliwa! Anaekuwa mdadisi sana kuuliza anachotaka kujua ndiye anaezoa majibu mengi sana. Dunia itafunguka kwake atafutaye, badala ya kusubiri kama mvua, sometimes mvua miaka mingine huwa hainyeshi sana. Mkuu kama kunaishu unataka kujua undani wake uliza tu, wengi watafunguka sana kwa kina kirefu tu!
 
Na mimi nafikiria kununua ardhi nzuri kama ekari 50 hivi za kuanzia. Naufuatilia huu uzi kwa makini sana. Niko interested kupanda mazao ya kudumu kama machungwa ao maembe.
Changamoto inyoninyima usingizi ni ulinzi wa mazao hasa pale yanapokuwa tayari. Udhibiti wake uko vipi especially ukiwa na shamba la ekari 100?
 
Karibu mgama, jimboni kwa Mh. Mgimwa tulime njegere
 
Attachments

  • IMG_00000396.jpg
    IMG_00000396.jpg
    577.9 KB · Views: 131
  • IMG_00000397.jpg
    IMG_00000397.jpg
    513.1 KB · Views: 103
Karibu mgama, jimboni kwa Mh. Mgimwa tulime njegere

Mkuu People funguka zaidi please! Watu (siimanishi wewe) wana hamu kweli ya maendeleo so wanataka kujifunza kwa kadri iwezekanavyo kutoka kwenye experience za wengine. JF imekuwa ya msaada mkubwa kwetu kutoka na experience za wengine. Sijui akina akina Maxence wana mpango gani wa kuandaa say some of documentary or the like ambayo itaonesha namna ambavyo JF imebadilisha maana ya watu positively kwa kutumia hard data na si vitu vya kufikiria. Mimi ni mmoja wao kiukweli kabisa.
 
Mkuu Bobby asante kwa comments zako. Dunia imejaza mengi mazuri yakimsubiri yeyote yule ayatafutae! FINDING is reserved to those who SEARCH !! Abishaye hodi ndiye hufunguliwa! Anaekuwa mdadisi sana kuuliza anachotaka kujua ndiye anaezoa majibu mengi sana. Dunia itafunguka kwake atafutaye, badala ya kusubiri kama mvua, sometimes mvua miaka mingine huwa hainyeshi sana. Mkuu kama kunaishu unataka kujua undani wake uliza tu, wengi watafunguka sana kwa kina kirefu tu!

Kubota umemaliza kila kitu kwenye hii post. I see something common between us kwenye maneno yako, bila shaka wewe ni mfuatiliaji mzuri wa watu kama the late Jim Rhon, he is actually one of my favorites. Avatar yako iko so inspiring, kwangu mimi kilimo ni hobbie in the first place lakini nataka kinizalishie pia. Hakuna kitu kizuri kama kutengeneza pesa kwa kufanya kile unachokipenda someone said the other day kwamba siri ya kuishi maisha yenye mafanikio is to "to find what you love doing then make it pay for you". Nitakusumbua sana wewe na wengineo kwenye hii issue ya kilimo na Im glad uko tayari kwa hilo.
 
Mkuu Bobby unatisha!! Yes late Jim Rhon, nadhani hujasahau kilichomfanya akasilike na kuanza kupambana na umasikini, aliposhindwa kununua candy ikiuzwa dola 2. Mkuu Bobby tuko pamoja sana.
 
Na mimi nafikiria kununua ardhi nzuri kama ekari 50 hivi za kuanzia. Naufuatilia huu uzi kwa makini sana. Niko interested kupanda mazao ya kudumu kama machungwa ao maembe.
Changamoto inyoninyima usingizi ni ulinzi wa mazao hasa pale yanapokuwa tayari. Udhibiti wake uko vipi especially ukiwa na shamba la ekari 100?
Mkuu VUVUZELA suala la ulinzi ni muhimu sana na linahitaji uerevu sana. Kutokana na umuhimu wa suala hili Mkuu kama utaona inafaa nakushauri uifanye hii post yako iwe thread kamili ijitegemee ili ipate uzito wengi wachangie tupate mwelekeo maana kwa ilivyo hapa imemezwa wengi hawataiona na inaweza isijadiliwe. Sijawahi kukutana na mjadala unaohusu ulinzi humu, siku zote tunaongelea kukusanya na kuzalisha mali tu. Na mimi nimetega hapa kusikiliza mauzoefu si unajua JF kisima cha maarifa.
 
Back
Top Bottom