Ushauri wa kuanzisha biashara ya kilimo

Mrdash1

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,375
336
Wakuu nimepata shamba eka 200 huko Kilosa na nimenunua trekta na majembe ya kulimia niko kwenye maandalizi ya kulima matunda na mboga mboga.
Nisaidieni mawazo ni matunda au mboga gani nilime ambazo zitaniinua chapu chapu.
 
kuna maji au unataka kutegemea kudra za mwenyezi mungu (mvua)
 
MkuuHongera sana kwa kuamua hivyo, kilimo ndo investment pekee ya maana iliyobakiaingawa watu wanaidharau sana.

Mimi labuda nikushaurimambo yafuatayo.

- Kama eneo lako linamaji ya kutosha means unaweza kulima mwaka mzima, hii ni nzuri sana mkuu,ukiweza kulima mwaka mzima bila kutegemea nvua itakuwa vizuri,

- Kuhusu mazao yakupanda, Hapa ndo huwa tunafanya makosa makubwa sana, Mazao ya kupanda yako mengisana ila mimi si wezi kukushauri upande nini, ila fanya hivi,

1. Kabula ya kuanzakulima zao husika tafuta soko lake kwanza, yaani usiingie shambani bila kujuautamuuzia nani.

2. Tafuta mnunuzi wahayo mazo yako kwanza na muingie nae mkataba kwamba ukizalisha atakuwa ananunuabila shida,

Hii itakusaidia sanamkuu, na hii tunaita contact farming, bila hii kitu utalima halafu utakujahumuhumu kuuliza ni nani ni muuzie au ndo unalima halafu wanaume wenginewanakuja kukupangia bei ya kuuzi utazani walikusaidia kulima.

KUHUSU MAZAO MIMI SIJUIHATA UDONGO WA HUKO, ILA KWA ZAO UTAKALO AFIKI KULIMA TAFUTA MNUNUZI WAKEKWAZNA KABLA YA KUANZA KULIMA

Kitu cha kwanza pima udongo wako. Ujue unafaa kwa kilimo kipi. Pili tafuta wataalamu wa kilimo wakushauri. Then tafuta mnunuzi, then fuata requarement.
 
Nakushukuru sana kwa kunielewa na ushauri mzuri
 
Kitu cha kwanza pima udongo wako. Ujue unafaa kwa kilimo kipi. Pili tafuta wataalamu wa kilimo wakushauri. Then tafuta mnunuzi, then fuata requarement.

Kutumia wataalam ni muhimu na hilo nimeanza kulishughulika, ila kwa kutumia elimu yangu ya O'level ya kilimo (kibaha sec school) sidhani kama kuna ulazima wa kupima udongo kabla ya kulima. eneo eka 200 ni kubwa utakuta analysis ya udongo itatofautiana sehemu hadi sehemu ndani ya hilo shamba. Mimi nilitaka ushauri juu ya mzao gani ya kulima yenye tija zaidi.
 
Ina mana hadi unanunua vyote hivyo ulikuwa huna PLAN mkuu???

Mh usiwe na wasiwasi, PLAN ipo ya kulima mboga na matunda ila naomba ushauri wa mazao yapi nilime hivi sasa yenye tija zaidi (? nyanya, vitunguu, maharage, viazi mviringo, viazi vitamu, mchicha, kabichi, pili hoho, pilipili mbuzi, pilipili kichaa, ndizi, maembe, machungwa, bamia, biringanya nk, nk, nk ???)
 
Kwanza honera sana kwa kufanikiwa kupata hizo mali,pili wa zo la kulima.
 
LAT Mtafute Malila ni mtaalamu wa mambo ya kilimo
Nimeitembelea blogu yako nimeona kama unafanya ushauri wa namna ya kufanya biashara kujifunza kwa vitendo ni bora maana nadharia na vitendo ni vitu 2 mbalimbali
 
LAT Mtafute Malila ni mtaalamu wa mambo ya kilimo

Baba lao siko mbali nimo humu humu jamvini.

Kama shamba lako linakubali kilimo cha migomba, go for banana farm(Mzuzu/Mshale), kama unaweza kupata soko la hoho, go for it au mbuzi. Giligilani zina soko kubwa sana pale Kisutu kwa Wahindi, kawatembelee ili uone namna ya kulima giligilani.
 
Asante
 
Back
Top Bottom