Ushauri wa Kisheria kweye Ardhi

ThadeusMbena

New Member
Feb 2, 2016
1
0
Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right Of A Disposition 5.Notification Of Disposition Na 6.Certificate Of Approval Of Disposition(Consent).

Nilitakiwa kwenda TRA kulipa kodi lakini sina pesa za kufanya hivyo.Nimeamua kuuza kiwanja change.Nilipopata mteja nikaambia sina Locus (Nguvu Ya Kuuza).Naomba kujua kama kuna namna yeyote ya kisheria ambayo inaweza kufanyika nikaweza kuuza kiwanja hiki.Asanteni
 
umeshabadilisha jina?
 
kuna maelezo hayako sawa hapo juu mkuu huenda hujayasema ebu kuwa huru na wazi kidogo watu wakusaidie
 
Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right Of A Disposition 5.Notification Of Disposition Na 6.Certificate Of Approval Of Disposition(Consent).

Nilitakiwa kwenda TRA kulipa kodi lakini sina pesa za kufanya hivyo.Nimeamua kuuza kiwanja change.Nilipopata mteja nikaambia sina Locus (Nguvu Ya Kuuza).Naomba kujua kama kuna namna yeyote ya kisheria ambayo inaweza kufanyika nikaweza kuuza kiwanja hiki.Asanteni
huwezi kuuza mpaka transfer ya kiwanja kuingia katika jina lako ikamilike kwanza.
 
Back
Top Bottom