Ushauri wa ki-elimu

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Nahitaji kumshauri rafiki yangu ambaye namnukuu katika stori ifuatayo
"Baba anawalipia karo watoto wengi wake na ndugu zake,kuna mtoto wa jirani ambaye kutokana na matatizo ya nyumbani kwao aliamua kuchukua jukumu la kumsomesha. Katika makubaliano ambayo sio formal alikubali kumsomesha elimu ya advance ambayo msomeshwaji alitoa taarifa za uongo. Ukweli ni kwamba alikuwa anatafuta credit wakat akiwa form five na alitumia miaka mitatu kuzipata credit. Ili aendelee kupata msaada alimdanganya mzee kuwa amefaulu mtihani wa form six wakati ambapo mtihani huo hakuufanya kwa kukosa registration kutokana na kuchelewa kukamilisha taarifa zinazomuhusu. Kutokana na mzee kuwa na mambo mengi alishindwa kufuatilia in detail taarifa zinazomuhusu kijana huyo zaidi ya kupata taarifa kutoka 3rd person(ndugu wa msaidiwa) ambaye either kwa kutokujua au kujua alitoa taarifa za uongo. Kijana baada ya kushindwa kufanya mtihani wa a level alishauriwa aingie ualimu wa s/msingi na kama ana lengo la kujiendeleza ,atajiendeleza tayari akiwa na ajira ,ushauri ambao hakuutekeleza. Na badala yake alijiunga tasisi moja ya elimu ya juu (certificate )huku akitegemea ufadhili wa mzee ambaye hadi kufikia hapo,nahisi amechoka kulipa kutokana na mzigo wa dependats wengi watoto na ndugu.
Mzee aliamua kumtuma mtu ku-spy kama ni kweli yuko chuo na mtoa taarifa akaujua ukweli wote ila anaogopa kumpa taarifa mzee kwani msaada kwa kijana utasitishwa,kanambia nimshauri nini cha kufanya. Kutokana na hali ya kujibana tunayoishi naona hakuna ulazima wa kuendelea kumsaidia kijana kwani kitendo alichofanya kudanganya na kuamua kuingia chuo certificate under private sponsorship sio sahihi kutokana na gharama."
Kama wewe ni kijana wa Mfadhili uamuzi gani unahisi utakuwa sahihi kusema ukweli au kuuficha ukweli ili kijana aendelee na shule wakati hali ya kifedha ni ya kuunga-unga.
maoni please !
 
Nahitaji kumshauri rafiki yangu ambaye namnukuu katika stori ifuatayo
"Baba anawalipia karo watoto wengi wake na ndugu zangu,kuna mtoto wa jirani ambaye kutokana na matatizo ya nyumbani kwao aliamua kuchukua jukumu la kumsomesha. Katika makubaliano ambayo sio formal alkubali kumsomesha elimu ya advance ambayo msomeshwaji alitoa taarifa za uongo. Ukweli ni kwamba alikuwa anatafuta credit wakat akiwa form five na alitumia miaka mitatu kuzipata credit. Ili aendelee kupata msaada alimdanganya mzee kuwa amefaulu mtihani wa form six wakati ambapo mtihani huo hakuufanya kwa kisingizio cha kukosa registration. Kutokana na mzee kuwa na mambo mengi alishindwa kufuatilia in detail taarifa zinazomuhusu kijana huyo zaidi ya kupata taarifa kutoka 3rd person(ndugu wa msaidiwa) ambaye naye either kwa kutokujua au kujua alitoa taarifa za uongo. Kijana baada ya kushindwa kufanya mtihani wa a level alishauriwa aingie ualimu wa s/msingi na kama ana lengo la kujiendeleza ,atajiendeleza tayari akiwa na ajira ,ushauri ambao hakuutekeleza. Na badala yake alijiunga tasisi moja ya elimu ya juu (certificate )huku akitegemea ufadhili wa mzee ambaye hadi kufikia hapo,nahisi amechoka kulipa kutokana na mzigo wa dependats wengi watoto na ndugu.
Mzee aliamua kumtuma mtu ku-spy kama ni kweli yuko chuo na mtoa taarifa akaujua ukweli wote ila anaogopa kumpa taarifa mzee kwani msaada kwa kijana utasitishwa,kanambia nimshauri nini cha kufanya. Kutokana na hali ya kujibana tunayoishi naona hakuna ulazima wa kuendelea kumsaidia kijana kwani kitendo alichofanya kudanganya na kuamua kuingia chuo certificate under private sponsorship sio sahihi kutokana na gharama."
Kama wewe ni kijana wa Mfadhili uamuzi gani unahisi utakuwa sahihi kusema ukweli au kuuficha ukweli ili kijana aendelee na shule wakati hali ya kifedha ni ya kuunga-unga.
maoni please !
mmmm!?nakaa pembeni nisubiri great thinker wanipitie tuondoke zetu
 
u neva no...anaweza akawasaidia badae. Amkaushie tu, he was chitingi for rait papas!!
 
Hapo unamhukumu kwa kusema uongo au kwakuwa pesa ni za kuunga unga?. Sijakuelewa ndg.
 
cha msingi hapo ni kumwekeza tu mzee ukweli so long yupo kweli chuo na mzee ataona ni jinsi gani atamsaidia japo kwa mawazo lkn kukaa kimya au kudanganya haisadii chochote...
 
Huyo dogo anapenda kusoma, kama kaamua kwenda shule, basi aendelee kusaidiwa kama uwezo upo.
 
Huyo dogo anapenda kusoma, kama kaamua kwenda shule, basi aendelee kusaidiwa kama uwezo upo.

Kwanini asingetoa taarifa za ukweli na pia kwanini asingefanya consultation na mfadhili wake kabla ya kujiunga chuo(certificate)
 
Iwekwe wazi tu kwa mzee ila aendelee kusaidiwa japo kuwa ana asili ya ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom